Siasa na Uchumi: Siku 12 za Mwaka wa Fedha zinapita, fedha ya Bajeti haijaanza kutoka; ikifika Juni 2022 ndiyo zitatoka

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Ndivyo ilivyo kila mwaka. Mwaka wa Fedha unapoanza Hazina huanza kutoa mifedha hiyo Agosti mwishoni - yaani miezi miwili mbele baada ya Bajeti kupitishwa.

Madhara yake sasa inapofika mwezi wa mwisho wa Mwaka unakuta Ofisi inahitajika kufanya Zaidi ya 60% ya kazi za Mwaka wa Fedha.

Mwisho wa siku hamna kinachofanyika na majukumu mengi yanakuwa hayajatekelezwa.

Wizara ya Fedha tatizo huwa ni nini kuchelewesha kutoa fedha za matumizi bajeti ikianza?

Siasa ziwekwe Kando Bajeti itekelezwe kwa wakati ili majukumu ya kukuza uchumi wetu yafanyike.
 
Nilifuatilia nikagundua budget hua inakua geresha tu. Wastage of time tu.
Ukiuliza mfano ya mwakajana utaambiwa utekelezaji wake ulikua only 30% actually. Sasa huoni ni upuuzi huo.
kuidiscuss budget ni upuuzi zaidi.
 
Du kama vile umeandika Peonti tupu!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom