Si salama kujenga juu ya makaburi

Si salama kujenga juu ya makaburi

Makabruni.
8d575303ecc8024e6fe9ccc6ca8228b3.jpg
 
Duu sasa mimi nimelala nazo mochwari zaidi ya mwaka na nyingine nimezibutua mno kwa kibiriti cha gesi kwenye yake matanuri ya kuchomea (sio hapa nchini lakini )na nilikuwa nikimaliza nagonga msosi kama kawa tena hata nyama choma....nikikumbuka yale maisha najiona kama sio mimi [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji85] [emoji87]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]......
 
Ni mbaya sana kujenga juu ya makaburi ila kama kuna ulazima wa eneo kutumika kwa ajili ya huduma ya jamii yenye tija ni vyema kuhamosha hayo makaburi na kuenda kufukiwa sehemu maana wenye miili yao wakiihitaji wataifuata huko ilikowekwa na si kujengwa juu yake
 
Mimi Tabia yangu huw asishindanina mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa na wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatitib Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maana sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.
Nafurahishwa na mnavyoachiana ulingo kwa style hii
 
Kwakweli licha ya kujenga mi hata ikitokea napita makaburini usiku ( kuna makaburi katikati au pembeni kuna njia ya kupita) huwa naogopa sana wakati mwingine uhisi kama kuna uhai maeneo yale! Makaburi ni kitu kingine aisee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kilinge ni chimbo nina historia napo muda ukifika nitasimulia japo si hivi karibuni

Dah mwez uliopita nlikua naenda MKATA nikajikuta nimepitilizwa hadi MSATA maana kwenye Bus kuna Thread yake nlikua naisoma,hiyo yote sababu network kichwani ilikuwa ina search Mshana Jr,nikajisemea tu hamna noma Bro Mshana Jr,nitakutafutaga..ikabidi kupanda Bus kurudi MKATA...mwenyeji wangu alinisubir mno ila sikumwambia kilichotokea..maana nlikua natokea Arusha.
 
Shule niliyosoma ilikuwa na makaburi ya kanisa sasa kwenda prepo shughuli na kurudi kwenda kwingine kuna makaburi yalikuwa yanawaka moto though wananchi walikomaa yasiguswe ndo kukawa hamna vtuko zaidi ya unaweza kuota MTU wa ajabu kwa sekunde chache na kupotea
 
Dah mwez uliopita nlikua naenda MKATA nikajikuta nimepitilizwa hadi MSATA maana kwenye Bus kuna Thread yake nlikua naisoma,hiyo yote sababu network kichwani ilikuwa ina search Mshana Jr,nikajisemea tu hamna noma Bro Mshana Jr,nitakutafutaga..ikabidi kupanda Bus kurudi MKATA...mwenyeji wangu alinisubir mno ila sikumwambia kilichotokea..maana nlikua natokea Arusha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MWENYE ENZI MUNGU ATUSAMEHE...FAMILIA YETU TULIJENGA MAHALI PA KUTAMBIKIA WAFU ilikuwa mwanzoni mwa 1919.....MUNGU ATUEPUSHE NA MAJANGA YA KILA AINA KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAICH (YESU KRISTO kwa Kiebrania)
Ni Mwenyezi Mungu na sio MWENYE ENZI MUNGU
 
Duu sasa mimi nimelala nazo mochwari zaidi ya mwaka na nyingine nimezibutua mno kwa kibiriti cha gesi kwenye yake matanuri ya kuchomea (sio hapa nchini lakini )na nilikuwa nikimaliza nagonga msosi kama kawa tena hata nyama choma....nikikumbuka yale maisha najiona kama sio mimi [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji85] [emoji87]

[emoji15] unasema..!? kaka unataka niwe na kukimbia sasa nikiwa nakuona
 
Hahhahahaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom