Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,663
- 3,471
We jamaa hii ni machine ya kusaga nini 😸🙂!View attachment 3623903Bado bei ipo poa 2500 kidumu cha tomato...
Na mashine ya kusaga nyanya hiyo hapo kila kitu kinafanyika katika uboro wa hali ya juu
View attachment 3623905