Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
aaah yakhe!!!!kwani weye ushawahi kuwashwa JICHO?
Nadhani mie nipite tu njia, kwani naona Sredi nzima imejaa mitekenyano!
Haya tekenyaneni! Mi sitekenyeki kwani sio kila tekenyo hutekenya!
aaah yakhe!!!!kwani weye ushawahi kuwashwa JICHO?
usipokuna utapapasa!
We unafikili uchi unawashia nje,hiiiii weeee ujui kumbe muulize dem wako
Utapapasa au utapapaswa?
yote kheri, ila kupapaswa ndio mpango mzima af mikono lain sio ka ya fundi magari lakini kwangu ni bigNO
Sasa ummu kulthum , mwanamke mikono laiynii & kidume mikono laiynii !
Si mtafanana? Mi navojua kidume kiganja msasa ndo inalipa!
Kwa mantiki kwamba ule mkono mfupi wenyewe hauhusiki na kazi za mikono! Tofauti na kazi za kiuno.
Nadhani mie nipite tu njia, kwani naona Sredi nzima imejaa mitekenyano!
Haya tekenyaneni! Mi sitekenyeki kwani sio kila tekenyo hutekenya!
Mi nkikutekenya lazima utatekenyeka tu jg!!!
Chezea muashoo wwusipokuna utapapasa!