Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

We nae umeedit comment yangu. Tangu mwanzo nimeandika Hovyo.
Angalia comments za watu walioni quote mwanzo.
Sio kweli, kama umeamua kutokuwa mkweli wa vitendo mrembo haina shida, ila nifanya kulingana na kile nilicho kiona.

Ahsante.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

JF bana. Halafu anayeambiwa hivyo ni kidume
Nimesema hivyo sababu kwenye wanaume kuna wanaume.

Alianza kujitoa ufahamu na kurauka, akaniita nimeitika, au nimekosea chief ?

Hivi ndivyo nilivyo mimi.
 
Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika hovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaaah
 
Back
Top Bottom