Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

kwenye maswali yako kuna jambo kuu hujalijibu.
hujakanusha wepo wa tuhuma za nilizozisema , badala yake umekimbilia kunishambulia , dawa ya hili swala ni uongozi wa shule kuweka walimu sahihi na kuzingatia maadili , nachelea kutoa taarifa nyingi maana itakua ni total destruction ya hii shule , najua vingi kuliko kawaida. Sitaki kusema zaidi maana italichafua sana kanisa kimalezi ya shule ile
Samahani kwa kusema hivi.
Wewe ni mjinga mkuu

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .

1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo , vijana hao wa kidato cha nne wengi wao hawawezi kubadilisha shule/ kuhama shule kwa sasa , hivyo wanalazimika kubaki shuleni hapo kulinda usajili wao.

Mkuu wa shule hio anadaiwa kuwazuia wanafunzi wote wa kidato cha nne na kuwataka walipe fedha za kufundishwa TUITION kipindi cha likizo ijayo JUNE 2023 kwa kua wanajua shule hio haijawafundisha watoto hao baada ya kuondokewa na waalimu .

Wazazi waliowengi wanatamani wanafunzi wapewe uhuru wa kuamua kurudi kwa wazazi likizo ili wapate masomo ya ziada binafsi kwa waalimu wenye uwezo kuepusha kufail kwenye mtihani ujao .

2.Wazazi wengine wamelalamika pia , tetesi za shule hio kuwa na wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja , hivyo wanaomba watoto wao warudi likizo kuepusha madhara zaidi ya kimaadali

RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

==========UPDATES===========
Shule inagoma kuwaachia watoto kwa kuhofia tetesi hizo za usagaji zinaweza kuenea na kupelekea kufungwa au kuchunguzwa
Pole sana mwalimu kwa kusitishiwa Ajira !!
 
Haya jamani , wazee wenzangu mliokua mnakuja kwa kutukana , msikilizeni vizuri waziri wa elimu , ameongea kwa ustaarabu sana kazi kwenu
 
Attachments

  • WAZIRI_WA_ELIMU.mp4
    5.4 MB
Wewe tafuta kazi sehemu nyingine, sio lazima ufanye kazi hapo Huruma Sec. Wamekufukuza baada ya kuona unatamani watoto, sasa unakuja kulalamika huku JF, haukuan msaada wowote hapa. Ina maana huo usagaji upo kwa form 4 tu ? Mbona form 1 had 3 wameenda likizo, ina maana hawataoa taarifa ? Aidha, hata hao wa form 4 bado wangerudi nyumbani wiki ya mwisho, je wasingetoa taarifa juu ya huo usagaji ? Ni kwel kabisa kuwa shule ilipanga kuwabakiza watoto wa kidato cha 4 kwa ajili ya maandalzi ya mitihani ijayo. Aidha, walikuwa wametangaza pia kubakiza wale watakaokuwa hawakufikisha wastani husika. Hatua zote hizo zilikuwa zibalenga maendeleo ya wanafunzi, kama ulikuwa hajaridhika nayo, ulipaswa kumwondoa mwanao badala ya kuchafua hadhi ya shule.
 
Haya jamani , wazee wenzangu mliokua mnakuja kwa kutukana , msikilizeni vizuri waziri wa elimu , ameongea kwa ustaarabu sana kazi kwenu
Si baada ya wewe kupeleka umbea wako ? Maana hujaeweleka hoja yako hasa ilikuwa ni ni baina ya usagaji na kubaki shule. Hapo hakuna lingine, bali ni wivu wa 50,000/= tu.
 
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .

1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo , vijana hao wa kidato cha nne wengi wao hawawezi kubadilisha shule/ kuhama shule kwa sasa , hivyo wanalazimika kubaki shuleni hapo kulinda usajili wao.

Mkuu wa shule hio anadaiwa kuwazuia wanafunzi wote wa kidato cha nne na kuwataka walipe fedha za kufundishwa TUITION kipindi cha likizo ijayo JUNE 2023 kwa kua wanajua shule hio haijawafundisha watoto hao baada ya kuondokewa na waalimu .

Wazazi waliowengi wanatamani wanafunzi wapewe uhuru wa kuamua kurudi kwa wazazi likizo ili wapate masomo ya ziada binafsi kwa waalimu wenye uwezo kuepusha kufail kwenye mtihani ujao .

2.Wazazi wengine wamelalamika pia , tetesi za shule hio kuwa na wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja , hivyo wanaomba watoto wao warudi likizo kuepusha madhara zaidi ya kimaadali

RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

==========UPDATES===========
Shule inagoma kuwaachia watoto kwa kuhofia tetesi hizo za usagaji zinaweza kuenea na kupelekea kufungwa au kuchunguzwa

*************NEW UPDATES WAZIRI WA ELIMU ATOA MSIMAMO JUU YA ZUIO LA LIKIZO

Tuliwaambia mkawa wabishi sasa endeleeni kuwazuia watoto kurudi likizo mtajuta kufungua hio shule , a polite notes , waachieni watoto waende likizo msiogope kusemwa kama kuna shida za kimaadili ni mambo yanayozungumzika
Kama una mtoto wako kamchukue mtoto wako ukae naye nyumbani likizo. Usituchose tusiohusika..
 
Kama una mtoto wako kamchukue mtoto wako ukae naye nyumbani likizo. Usituchose tusiohusika..
sasa kama hususiki umekuja kufanya nini hapa , with more than 2000 threads umekuja hapa obviously una interest na shule hio , relax and enjoy :D
 
Mary goleth mbeya, mt mary mazinde juu same, mt anne arusha, holy spirit ruvuma, stella maris Tanga,mary immaculate dodoma na zingine nyingi hizi shule zote ni shule ambazo zinaongozwa chini ya masista na walimu hapo ni wakike, kwanini nisinshangae kuona walimu wa kiume wakati shule nyingi za watawa wakike (masista) huwa ni sawa na wamonaki system zao zilivyo, halafu unasema aliyekuambia kuwa walimu wa kiume hawaruhusiwi kufundisha shule hizo ni nani hivi wewe kichwani upo sawa kweli lete shule tano za watawa wakike zenye walimu wakiume mbona unakuwa mpumbavu
Mt Mary Mazinde juu ipo Lushoto sio Same, ina walimu wa kiume, sio mmoja wala wawili ni wengi tuu, hizo nyingne ulizotaja Sijui, ila mzinde hata second master ni Me.
Screenshot_20230602_111813_Google.jpg
Pia kuna Kifungiro girls, St Catherine, Kongei, Now Usambara zote ni za masista zipo lushoto na zina walimu wa kiume, tena nyingine hata mkuu ni Me, kuna St wilbada, don bosco, kwa ufupi mimi ndio nilikua sijui kumbe kuna shule za masista zisizoruhusu Walimu wa kiume.
 
Mtoa mada hujasema una maslahi gani na hiyo shule, ili tuweze kufanya tathmini ya hizi shutuma zako.
Je, wewe ni mzazi mwenye mwanafunzi wa kidato cha nne, aliyezuiliwa na hiyo shule kurudi nyumbani?

Je, una uhakika shule inatumia ubabe, au imekubaliana na wazazi wenzako wenye watoto wa kidato cha nne!

Au wewe ni mmoja ya walimu waliotimuliwa kwenye hiyo shule, na sasa umeamua kuja kuisagia kunguni? Maana haileti mantiki shule kama Huruma Girls ikose walimu mahiri wa kuchukua nafasi ya hao wachache waliofukuzwa!

By the way, hiyo shule inafanya vizuri sana kwenye mitihani ya Kitaifa. Hivyo nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hizi shutuma zako zote! Pamoja na hizo za usagaji.
Kumeanza mtindo wa walimu wanaofukuzwa mashuleni huko kuwahadaa wazazi kuwa shule haina walimu mara ooh shule vile shule hivi...Mimi naijua huruma girls na mara nyingi nasali Jimboni hapo...hizi tuhuma kama ni za kweli nitajua maana nina rafiki yangu ana mtt wa kidato cha nne hapo..kama kama kuna ishu ya kubaki shule ni makubaliano ya wazazi wote..
 
Mt Mary Mazinde juu ipo Lushoto sio Same, ina walimu wa kiume, sio mmoja wala wawili ni wengi tuu, hizo nyingne ulizotaja Sijui, ila mzinde hata second master ni Me.View attachment 2643351Pia kuna Kifungiro girls, St Catherine, Kongei, Now Usambara zote ni za masista zipo lushoto na zina walimu wa kiume, tena nyingine hata mkuu ni Me, kuna St wilbada, don bosco, kwa ufupi mimi ndio nilikua sijui kumbe kuna shule za masista zisizoruhusu Walimu wa kiume.
Wewe umesoma hapo?
 
Kumeanza mtindo wa walimu wanaofukuzwa mashuleni huko kuwahadaa wazazi kuwa shule haina walimu mara ooh shule vile shule hivi...Mimi naijua huruma girls na mara nyingi nasali Jimboni hapo...hizi tuhuma kama ni za kweli nitajua maana nina rafiki yangu ana mtt wa kidato cha nne hapo..kama kama kuna ishu ya kubaki shule ni makubaliano ya wazazi wote..
Napenda sana mtu anapotaka kufifisha maada atumie akili kidogo ,lakini kwa uelewa wa namna hii yako , ungesoma seminari wewe usingetoboa hata seminar kuu.
Jifunze kukemea bila ushabiki, mimi ni mzee wa litania ya mama bikira maria , na mzee wa mt anthonio wa padua , lakini siwez kufumbia macho ujinga uendelee kwenye shule pendwa tena ya kikatoliki.
Unajua shule za kikatoliki zilivyonyooka ? huu ujinga unaoanza kuota Huruma pale wewe unadhani unatetea kanisa kumbe unaua brand ya shule. Hata yesu aliwatandika mafarisayo waliokua wanageuza sinagogi kuwa nyumba ya biashara .
Ntawatandika Huruma kama wataendelea na kuzorotesha elimu shuleni pale na kufumbia macho mmomonyoko wa maadili .
Wewe geuza hii maada iwe issue ya kanisa badala ya shule , unajua kabisa hata kama wewe ni mwajiriwa wa sasa hapo , nimeongea ukweli na hakuna chembe ya uongo kwa nini unabisha? utaenda kutubu wapi dhambi hizi?
vua joho la kikanisa na wasaidie watoto walioko pale .
Nikuulize tena , katika umri wako hujawahi kusikia makaasisi wamelawiti na kunajisi watoto wadogo? hujawahi kusikia mpaka papa anaomba msamaha ?
kwa nini sisi watanzania tunaona ni fahari sana kuficha maovu kwa mgongo wa kanisa au dhehebu?
siku mtoto wako akinajisiwa na kaasisi utanyamaza?
shame on you
 
===============UPDATES============================
Ninaushukuru Uongozi wa kanisa Katoliki jimbo kuu la DODOMA kwa kuingilia kati na kuruhusu wanafunzi wote warudi likizo ,Kanisa limeonyesha weledi mkubwa sana na nichukue nafasi hii kulipongeza kwa kuwa sikivu na kuchukua hatua stahiki kwa yote yaliyokua yanaelekea kuporomosha elimu pale shuleni
 
Napenda sana mtu anapotaka kufifisha maada atumie akili kidogo ,lakini kwa uelewa wa namna hii yako , ungesoma seminari wewe usingetoboa hata seminar kuu.
Jifunze kukemea bila ushabiki, mimi ni mzee wa litania ya mama bikira maria , na mzee wa mt anthonio wa padua , lakini siwez kufumbia macho ujinga uendelee kwenye shule pendwa tena ya kikatoliki.
Unajua shule za kikatoliki zilivyonyooka ? huu ujinga unaoanza kuota Huruma pale wewe unadhani unatetea kanisa kumbe unaua brand ya shule. Hata yesu aliwatandika mafarisayo waliokua wanageuza sinagogi kuwa nyumba ya biashara .
Ntawatandika Huruma kama wataendelea na kuzorotesha elimu shuleni pale na kufumbia macho mmomonyoko wa maadili .
Wewe geuza hii maada iwe issue ya kanisa badala ya shule , unajua kabisa hata kama wewe ni mwajiriwa wa sasa hapo , nimeongea ukweli na hakuna chembe ya uongo kwa nini unabisha? utaenda kutubu wapi dhambi hizi?
vua joho la kikanisa na wasaidie watoto walioko pale .
Nikuulize tena , katika umri wako hujawahi kusikia makaasisi wamelawiti na kunajisi watoto wadogo? hujawahi kusikia mpaka papa anaomba msamaha ?
kwa nini sisi watanzania tunaona ni fahari sana kuficha maovu kwa mgongo wa kanisa au dhehebu?
siku mtoto wako akinajisiwa na kaasisi utanyamaza?
shame on you
Hapo mwishoni hyo aibu haijanipata hilo la kwanza..

Nachosema wtt kubaki shule ni makubaliano ya wazazi na uongozi wa shule hasa kwa shule za private....

Kuhusu huo mmonyoko wa maadili siwezi uongela kwa sbb mimi siishi nao 24/7...

Kama unaoushahidi wanasagana peleka malalamiko kwa uongozi wa shule na kanisa ili tatizo litatuliwe kupitia bodi ya shule....

Mwisho mimi sio mwalimu maana sina wito hata chembe wa ualimu..

Kama umeona jambo hatarishi toa taarifa na sio kusemea humu bila kuchukua hatua..otherwise ni umbea kama umbea mwingine...
 
Back
Top Bottom