Samahani kwa kusema hivi.kwenye maswali yako kuna jambo kuu hujalijibu.
hujakanusha wepo wa tuhuma za nilizozisema , badala yake umekimbilia kunishambulia , dawa ya hili swala ni uongozi wa shule kuweka walimu sahihi na kuzingatia maadili , nachelea kutoa taarifa nyingi maana itakua ni total destruction ya hii shule , najua vingi kuliko kawaida. Sitaki kusema zaidi maana italichafua sana kanisa kimalezi ya shule ile
Wewe ni mjinga mkuu
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app