Dah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Uliishi mbuni mkuu? Nilikua Twiga... wazee wa Engineering science.Oke oke. Nilidhani shule yangu inaungua ningelia
Mimi nilikua Twiga,wing no 2Tumesoma shule moja mkuu
Kasoma pale,Kikwete kasoma Kibaha na Tanga SchoolSio kweli. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesoma Tanga Technical school. Na alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya shule ambapo pia ilikuwa ni mahafali ya form four 1995. I was there!
Hii Dunia Hotel si ilikua Makorora?Hahaha,
Yule Mzee bwana kunasiku kanikuta nipo Bweni la Nyati Jioni Asambo,Kilochofuata ilikuwa hatari.
Yule Mwalimu Wa bustani hebu nikumbushe jina lake.
Vipi dunia hotel Umefika Marangapi..?
Masomo ya UNGAUliishi mbuni mkuu? Nilikua Twiga... wazee wa Engineering science.
Yes.. MbuniUliishi mbuni mkuu? Nilikua Twiga... wazee wa Engineering science.
Kuna mzee mmoja anaitwa MUSSA KIPANGA ni lab technician hapo TANGA TECH, unamfahamu ???Itabidi tuanzishee uzi"Thread" wa Matukio ya Tanga school-Tanga Tech.
Tulikiwa Majirani,Mimi nilikuwa Nyati House.
Hii Taarifa nilipoiona Startv nilishtuka nikajua Tanga school ipo kwa moto inawaka....kumbe Old Tanga.
Mtoto wa Mkangazi Unamfahamu..?
Au Kipindi chako alikuwa hajaanza kidato cha kwanza..? ,Mimi nimukata nadhani yupo kama Kidato kama cha kwanza.
Mjema Mimi nimem'kuta Akiwa Mwalimu Mkuu msaidizi "Second Master"
Dunia hotel ilikuwa ni uwazi flani huwa wanauza Pweza,Chakula na mapochopocho nyakati Jioni, ipo juu ya Tanga school kabla hujavuka barabara ya Makorora Hospital.
Alikuwapo Tanga Tech Mwaka gani...?Kuna mzee mmoja anaitwa MUSSA KIPANGA ni lab technician hapo TANGA TECH, unamfahamu ???