Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Yeah, shule kongwe.Shule toka mjerumani hii
Nadhani ni sekondari ya kwanza ktk Tanzania ikiwa na umri wa miaka 129!
Yeah, shule kongwe.Shule toka mjerumani hii
😂 😂 😂 😂Mliosoma Tanga tech bhana.
Ni shule mbili tofauti, Old Tanga ipo katikati ya mji wa Tanga jirani na NMB Mkwakwani branch au opp Mkwakwani stadium. Tanga tech iko nje kidogo ya mji.
Yes, proudly Mbuni 😆😆Kumbe wewe ni mbuni?
hapana ni shule mbili tofauti kuanzia majina mpaka maeneo ambayo ziko hizi shule. Old Tanga iko mjini karibia na uwanja wa Mkwakwani wakati Tanga Tech iko makorora nje kidogo ya mjiOld Tanga ndio Tanga Tech?
hapana, hii old tanga zamani majengo yake yalikuwa yakitumika kama chuo cha afyaNi Tanga School?
hapana, hii old tanga zamani majengo yake yalikuwa yakitumika kama chuo cha afyaNi Tanga School?
Asante mkuu. Tanga Tech naijuahapana ni shule mbili tofauti kuanzia majina mpaka maeneo ambayo ziko hizi shule. Old Tanga iko mjini karibia na uwanja wa Mkwakwani wakati Tanga Tech iko makorora nje kidogo ya mji
old tanga sio shule ya shule nyingi unayosema wewe ni Tanga technical secondary school ambayo ni maarufu kama Tanga School ambayo ndiyo yenye sifa hizo unazotaja kama kasoma mzee wako. Hii old Tanga imeanza miaka ya 2000 sidhani hata kama ina miaka zaidi ya 25 toka ianzishweDah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Kabla ya chuo cha afya ilikuwa ni shule ambayo ni tanga school ilipoanzishwa Tanga technical schoolhapana, hii old tanga zamani majengo yake yalikuwa yakitumika kama chuo cha afya
bilashaka ni @chizimaarifanani kachomoa betri tenaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kabla ya chuo cha afya ilikuwa ni shule ambayo ni tanga school ilipoanzishwa Tanga technical school
Tanga school ikafanywa kuwa chuo cha afya
Kwenye Miaka ya 2000 ikahotajika kuongezwa mashule kwa kila mikoa Ndipo kukaondolewa chuo cha afya kuwa shule na likakumbukwa jina la shule ya zamani
Lakini likawa limeshaitwa jina la tanga ndio wakaona wasipotewe sana na jina la zamani
Ndipo ikaitwa Old tanga sec school
Umetufahamisha vizuri,tumekuelewa.hapana ni shule mbili tofauti kuanzia majina mpaka maeneo ambayo ziko hizi shule. Old Tanga iko mjini karibia na uwanja wa Mkwakwani wakati Tanga Tech iko makorora nje kidogo ya mji
Ni tofautiOld Tanga ndio Tanga Tech?
Hujui ulisemalo!Dah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Bila shaka utakuwa Mtoto wa Mkangasiii,,,Hahaha Natania.Oke oke. Nilidhani shule yangu inaungua ningelia
Ebwanaaa Eee Tupo pamoja Kamanda...!Tumesoma shule moja mkuu
Hongera mkuu kwa kujua ulisemalo.Hujui ulisemalo!
Hujakosea. Mimi ni zao la mkangazi, alikuwa kila akiingia class anatueleza umuhimu wa FTC 😀Bila shaka utakuwa Mtoto wa Mkangasiii,,,Hahaha Natania.
Tanga school Kwanjeka.
Mambo vipi...?
That is only thing i miss from Tanga. Yani baikoko hata ingekuwa wapi watu tulikuwa tunaifata kwa kuiskilizia sauti tuuu.Ebwanaaa Eee Tupo pamoja Kamanda...!
Unamkumbuka Professa...??
Proffesa alikuwa Mwalimu wa A-level,Alikuwa akisimama mbele ya Maabara yake ya Physics Kuanzia Asbuhi Mpaka Jioni.
Baikoko ngapi umehudhuria usiku wa Manane...??