Shule la Old Tanga inateketea kwa moto muda huu

Mwenyezimungu awakinge na Maafa walimu, wanafunzi na wafanyakazi wengine wa shule hii
 
wanaojua Tanga wanieleweshe old tanga iko wapi na new tanga iko wapi sababu mimi tanga yote naiona old tuu
 
Shule hiyo ya Sekondari ya Old iliyopo Jijini Tanga inateketea kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo hakijajulikana

> Taarifa za awali zinaeleza kuwa Kikosi cha Zima moto tayari kimefika katika shule hiyo na kuanza zoezi la uokoaji
Ni Tanga School?
 
Back
Top Bottom