Shule la Old Tanga inateketea kwa moto muda huu

Mzee mzeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
That is only thing i miss from Tanga. Yani baikoko hata ingekuwa wapi watu tulikuwa tunaifata kwa kuiskilizia sauti tuuu.

Hivi hiz mambo bado zipo??
 
Bila shaka utakuwa Mtoto wa Mkangasiii,,,Hahaha Natania.

Tanga school Kwanjeka.

Mambo vipi...?
Hii shule nakumbuka iko maeneo ya barabara ya Eukeniforde,mjini,sio kwanjeka,iko karibu na shule ya wasichana ya Alkheir na hostel ya wavulana ya Usagara secondary,na pia karibu na TRA,na uwanja wa mpira wa Mkwakwani,na kwa mbele kidogo iko shule ya Eukeniforde secondary.Kama nimekosea,mnisahihishe.
 
Ebwanaaa Eee Tupo pamoja Kamanda...!

Unamkumbuka Professa...??

Proffesa alikuwa Mwalimu wa A-level,Alikuwa akisimama mbele ya Maabara yake ya Physics Kuanzia Asbuhi Mpaka Jioni.

Baikoko ngapi umehudhuria usiku wa Manane...??
Professa
Nimeshapalilia sana bustani yake ile, nahis ndo sehem inayompa raha hapa dunaian
 
Hivi ni KWA nini ajali nyingi za shule kuungua moto zinatokea sana ktk maeneo ya mikoa ya kaskazini KWA Tz? Hususani mkoa wa Tanga, Kilimanjaro NA Arusha? Kuna nini kwenye mikoa hiyo??
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo ya 1990's bweni la shule moja ya Sekondari ya wasichana huko Tanga liliungua usiku NA Wanafunzi wote waliokuwamo walikufa KWA kuungua moto, silikumbuki jina LA Shule yenyewe. Hivi Tanga NA Kilimanjaro kuna siri gani dhidi ya ajali za moto kwenye shule???

Mkoani Mbeya kuna ajali za kuungua Masoko, mkoani Tanga NA Kilimanjaro kuna ajali za kuungua Shule. Kuna siri gani nyuma ya matukio haya???
Shule ya hao wasichana iliyoungua bweni inaitwa Shauritanga ila haiko Tanga. Hakuna shule ya wasichana Tanga iliyoungua enzi hizo.
 
Hujakosea. Mimi ni zao la mkangazi, alikuwa kila akiingia class anatueleza umuhimu wa FTC [emoji3]
Hahaha,

Yule Mzee bwana kunasiku kanikuta nipo Bweni la Nyati Jioni Asambo,Kilochofuata ilikuwa hatari.

Yule Mwalimu Wa bustani hebu nikumbushe jina lake.

Vipi dunia hotel Umefika Marangapi..?
 
Namkumbuka mwalimu wa bustani kipindi hicho ni mwalimu Mjema.
Dunia hotel nitaijulia wapi ndugu? Mbuni tulikuwa tunachungwa kama yai..hutoki bila ruhusa na mkienda town mnaenda group. Siijui hiyo hoteli
 
That is only thing i miss from Tanga. Yani baikoko hata ingekuwa wapi watu tulikuwa tunaifata kwa kuiskilizia sauti tuuu.

Hivi hiz mambo bado zipo??
Zitakuwepo tu bilashaka.

Sisi Tulikuwa Tunapiga Msuli Mpaka saa saba/Nane usiku,Kisha Tunazama Mtaani kutazama Baikoko na vigodoro.

Usiku Wa manane unakuta Tunaambaaambaa Mitaa ya Tanga.

Kuna siku tulikuwa kama Wanne hivi tuliifaata baikoko mbali sana,Baikoko ile ilikuwa hatari sana.

Tanga Watu Wapenda raha.
 
Hii shule nakumbuka iko maeneo ya barabara ya Eukeniforde,mjini,sio kwanjeka,iko karibu na shule ya wasichana ya Alkheir na hostel ya wavulana ya Usagara secondary,na pia karibu na TRA,na uwanja wa mpira wa Mkwakwani,na kwa mbele kidogo iko shule ya Eukeniforde secondary.Kama nimekosea,mnisahihishe.
Hapana Mkuu,

Nipo naizungumzia Tanga school"Tanga Tech",

Tanga school Tanga Tech ipo kwa Njeka/Sahare karibu na bahari.

Hayo Maelezo yako yapo sahihi Sana kuhusu Shule ya Old Tanga.

Nilikuwa Narafiki zangu wawili waliowahi kusoma Old Tanga O-level A-level Wakajikuta Tanga school kwa kuwa walitaka kubaki Nyumbani Tanga.
 
Professa
Nimeshapalilia sana bustani yake ile, nahis ndo sehem inayompa raha hapa dunaian
Professa Bwana,

Anashangaza sana kama ndio Mara ya kwanza Wamtia Machoni.

Yeye lugha ya Mawasiliano ni English Tu, Full Stop.

Prof alikuwa akikasirika sana ndio huzungumza Swahili tena kwa kutuita MaNg'ombe.

Alikuwa anatupiga story nyingi,Ila naamini alikuwa Mfatiliaji sana wa Mambo Haswa Modern Science.

Kunasiku alituambia ipo siku Mtashuhudia Messi vs Ronaldo Uwanja Wa Mkwakwani.

Physics alikuwa yupo njema sana,Nampa Heshima yake.
 
Namkumbuka mwalimu wa bustani kipindi hicho ni mwalimu Mjema.
Dunia hotel nitaijulia wapi ndugu? Mbuni tulikuwa tunachungwa kama yai..hutoki bila ruhusa na mkienda town mnaenda group. Siijui hiyo hoteli
Itabidi tuanzishee uzi"Thread" wa Matukio ya Tanga school-Tanga Tech.

Tulikiwa Majirani,Mimi nilikuwa Nyati House.

Hii Taarifa nilipoiona Startv nilishtuka nikajua Tanga school ipo kwa moto inawaka....kumbe Old Tanga.

Mtoto wa Mkangazi Unamfahamu..?

Au Kipindi chako alikuwa hajaanza kidato cha kwanza..? ,Mimi nimukata nadhani yupo kama Kidato kama cha kwanza.

Mjema Mimi nimem'kuta Akiwa Mwalimu Mkuu msaidizi "Second Master"

Dunia hotel ilikuwa ni uwazi flani huwa wanauza Pweza,Chakula na mapochopocho nyakati Jioni, ipo juu ya Tanga school kabla hujavuka barabara ya Makorora Hospital.
 
Zitakuwepo tu bilashaka.

Sisi Tulikuwa Tunapiga Msuli Mpaka saa saba/Nane usiku,Kisha Tunazama Mtaani kutazama Baikoko na vigodoro.

Usiku Wa manane unakuta Tunaambaaambaa Mitaa ya Tanga.

Kuna siku tulikuwa kama Wanne hivi tuliifaata baikoko mbali sana,Baikoko ile ilikuwa hatari sana.

Tanga Watu Wapenda raha.
Haha aisee ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kuona vijana wadogo wakicheza na wamama wakubwa bila wamama kuwa na aibu.

Sisi tulikuwa tunatoka nguvu mali kuifata popte ilipo sasa kurudi late night hamna usafiri. Ni mwendo mguu tuu yan wanafunz tunazurura bila kujali
 
Wachaa kabisa,

Wanawake Tanga "Mjini" naona kwa kiasi flani aibu katika mambo ya Maraha/Malavidavi huwa ipo mbali mno,Watu wanasahura tu mijiguo.

Aisee Tena usiku waweza kujikuta unakwenda Masafa Marefu.

Sisi Tulivyofika mara ya kwanza Mwalimu Mmoja Mtu Mzima akatutembeza maeneo mbali mbali kisha akatupa shule ya bure haswa kwa Watu wa Bara Akasema:

"Kuna vijana wengi huku Wamebaki huku kiufupi Walitekwa na Mahaba,Hivyo kuweni Makini,Mtu unabebwa Mgongoni bila kusahau Testicles zinasagwa kwa kijisahani taratiiiiiiiibu"

Kuna jamaa yetu Mtoto wa Mchungaji ndio alikuwa anatuchekesha aisee huyo bwana alikuwa anapenda vigodoro na baikoko..

Yeye na vigodoro hakosi kabisa,alikuwa anatisha sana.

Tanga Soda za Anjari zilinishinda,nilinyoosha Mikono Juu.
 
Anjari wenyeji wanakunywa. Sijawah kuziona pengine.
 
Ebwanaaa Eee Tupo pamoja Kamanda...!

Unamkumbuka Professa...??

Proffesa alikuwa Mwalimu wa A-level,Alikuwa akisimama mbele ya Maabara yake ya Physics Kuanzia Asbuhi Mpaka Jioni.

Baikoko ngapi umehudhuria usiku wa Manane...??
Hehhe namkumbuka yule profesa chenga

Baikoko zakutosha mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom