Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,696
He he hee tumkumbuke mwalimu mkuu wa kipindi kileMkumbushane nini tena??
Kho kho kho
He he hee tumkumbuke mwalimu mkuu wa kipindi kileMkumbushane nini tena??
Kho kho kho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣He he hee tumkumbuke mwalimu mkuu wa kipindi kile
Shule hiyo ya Sekondari ya Old iliyopo Jijini Tanga inateketea kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo hakijajulikana
> Taarifa za awali zinaeleza kuwa Kikosi cha Zima moto tayari kimefika katika shule hiyo na kuanza zoezi la uokoaji
Mimi wakati nafika kidato cha kwanza,nimemkuta jamaa kidato cha tano. Nawakumbuka wakina dada fulani wa Korogwe Girls enzi hizo.Nilisikia kuwa J M Kikwete alisoma hapo pia,
Usishangae kuna jinga moja limesababisha hiyo hasara kujilinda dhidi ya dhambi zake
Jina kidogo lina mushkeliShule hiyo ya Sekondari ya Old iliyopo Jijini Tanga inateketea kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo hakijajulikana
> Taarifa za awali zinaeleza kuwa Kikosi cha Zima moto tayari kimefika katika shule hiyo na kuanza zoezi la uokoaji
Mimi wakati nafika kidato cha kwanza,nimemkuta jamaa kidato cha tano. Nawakumbuka wakina dada fulani wa Korogwe Girls enzi hizo.
Mmmmh kweli old tanga ndiyo shule ya kwanza kujengwa hapa nchini?Dah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Haa haaa haa kipindi unafika hapo jamaa yupo cha tano.. Umenifurahisha sanaMimi wakati nafika kidato cha kwanza,nimemkuta jamaa kidato cha tano. Nawakumbuka wakina dada fulani wa Korogwe Girls enzi hizo.
Sio kweli. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesoma Tanga Technical school. Na alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya shule ambapo pia ilikuwa ni mahafali ya form four 1995. I was there!Nilisikia kuwa J M Kikwete alisoma hapo pia,
Usishangae kuna jinga moja limesababisha hiyo hasara kujilinda dhidi ya dhambi zake
Sio kweli. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesoma Tanga Technical school. Na alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya shule ambapo pia ilikuwa ni mahafali ya form four 1995. I was there!
Ni tofauti. Tanga old inayoungua ipo mkwakwani, hata mimi sikuwa naijuaKwahiyo Tanga Old na Tanga School ni tofauti maana sisi wengine hatuzijui hizo shule
Kwa ninavyofahamu, Ni kweli Tanga Tech ni shule ya kwanza ya serikali na shule ilikuwa pale Old Tanga na sio Kwanjeka kama ilivyosasa, lakini baada ya muda shule ilihamishiwa Kwanjeka (Haya ni maelezo niliyoyapata kutoka kwa mwal wangu wa Old Tanga ,yanaweza kuwa sahihi au lah.)Sio kweli. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesoma Tanga Technical school. Na alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya shule ambapo pia ilikuwa ni mahafali ya form four 1995. I was there!
Kumbe wewe ni mbuni?Oke oke. Nilidhani shule yangu inaungua ningelia
Unauliza au unaguna?Mmmmh kweli old tanga ndiyo shule ya kwanza kujengwa hapa nchini?
Correctly, J M KIKWETE amesoma TANGA TECH... Mzee wangu yupo TANGA TECH Kama laboratory technician.Sio kweli. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesoma Tanga Technical school. Na alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya shule ambapo pia ilikuwa ni mahafali ya form four 1995. I was there!
Sio ni shule mbili tofautiOld Tanga ndio Tanga Tech?
NaulizaUnauliza au unaguna?
Ni shule mbili tofauti, Old Tanga ipo katikati ya mji wa Tanga jirani na NMB Mkwakwani branch au opp Mkwakwani stadium. Tanga tech iko nje kidogo ya mji.Kwahiyo Tanga Old na Tanga School ni tofauti maana sisi wengine hatuzijui hizo shule
Kuna kitu imechanganya hapa.Hivi ni KWA nini ajali nyingi za shule kuungua moto zinatokea sana ktk maeneo ya mikoa ya kaskazini KWA Tz? Hususani mkoa wa Tanga, Kilimanjaro NA Arusha? Kuna nini kwenye mikoa hiyo??
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo ya 1990's bweni la shule moja ya Sekondari ya wasichana huko Tanga liliungua usiku NA Wanafunzi wote waliokuwamo walikufa KWA kuungua moto, silikumbuki jina LA Shule yenyewe. Hivi Tanga NA Kilimanjaro kuna siri gani dhidi ya ajali za moto kwenye shule???
Mkoani Mbeya kuna ajali za kuungua Masoko, mkoani Tanga NA Kilimanjaro kuna ajali za kuungua Shule. Kuna siri gani nyuma ya matukio haya???