fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Tumesoma shule moja mkuuOke oke. Nilidhani shule yangu inaungua ningelia
Tumesoma shule moja mkuuOke oke. Nilidhani shule yangu inaungua ningelia
uko sahihi nilifanikiwa kufika hapo nikapewa hii historiaDah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Dah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Dah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Picha tafadhali
Hii kwanjeka na Makorora ni Tanga school sio OldTanga.OldTanga ni nyuma ya viwanja vya MkwakwaniOhh!! Kwa Njeka na Makorora jitahidini muokoe alama yenu
Teh..itabidi tukumbushaneTumesoma shule moja mkuu
Old Tanga ndio Tanga Tech?
Kuna sheria inambanaPicha tafadhali
Dah Wafanikishe kuuzima huo moto,Old Tanga school ndiyo shule ya kwanza kwa Tanzania,Shule Aliyosoma Marehemu mzee wangu Mwenyezi mungu Amrehemu,.Old Tanga School ina zaidi ya Miaka 100.
Mliosoma Tanga tech bhana.Old Tanga ndio Tanga Tech?
HaswaaaaaHii shule,nafikiri iko karibu na kituo cha mafuta na TRA,na uwanja wa mpira na shule ya secondary ya wasichana ya Alkheiri
Haina bweni huwa ni dayBweni au madarasa ??.
Hapana old Tanga ipo mjini uwanja wa mkwakwani Tanga tech ipo kwanjeka
Tena wewe nyuma tu ya shule ya msingi kwanjeka pale.Kwanjeka kitaani kwangu. [emoji16]
[emoji1][emoji1] tumeshtuka. Sijawahi sikia hiyo shuleMliosoma Tanga tech bhana.
Old Tanga ipo karibu na madaraka kule, karibu na Jamhuri garden