Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Ngumu sana kumeza mkuu
Hao watoto wanasoma katika mazingira ya kitawa usisahau hilo kwanza, na wale masista magoa ni very strict wanawafatilia mpaka tabia zao, Akili hazijawa polluted! Mitoto mingine akili imejaa insta, tamthilia, wasafi, fiesta, mapenzi,selfie n.k shule haina pa kukaa inabaki vitabuni tu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngonza,
Ni ukweli kwamba shule zinazofaulisha zinachukua vipanga/cream
Inawapa mazingira mazuri mwishowe lazma wafaulu tuuu

ni kama vile shule za vipaji maalum zamani kabla ya ujio wa shule private watoto waliingia pale wenye akili tu hivyo mwishowe walifaulu

its not rocket science
 
Jirani yangu mtoto alikua anamsumbua mama ake amnunulie calculator ya kufanyia mtihani ndo akaja kuniuliza nikastaajabu kumuhoji mtoto akasema ndio wameruhusiwa na kweli alitafutiwa hiyo calculator kuhusu kuitumia sina hakika maana sikukutana nae tena yule mtoto wala mama mpaka niliposikia walihama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom