Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Mkuu huna uhakika na usemalo. Kemebos f6 mwaka jana imekuwa ya 10 kitaifa. Haijawahi kufungiwa. Noamba usiandike jambo usilolijua. Jf ina watu wengi sana.
Hii shule advance waliifungia sababu ya wizi wa mitihani.... Unajiuliza tu., wanafunzi wa aina hii wanapotelea wapi advance..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko bukoba mkoan kagera.

Ni Kwanza kitaifa form four,ya Kwanza kitaifa la NNE

Na ya pili kitaifa form two.


Wengi hapo ni wahaya na wasukuma kidogo .

Sasa ukisikia wachaga wanavyojimwambafy hapa[emoji23]

Wahaya tunawachora tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tuko pamoja ndugu yangu

Maana nimeshangaa majina asilimia kubwa ni ya kihaya na kisukuma

Wachaga wao wanatamba tu mkoa wao umeongoza lakin hawatuletei majina ya wanafunzi ya shule yao iliyo fanya vyema



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ya sekondary Kemebos.

Haya matokeo sio ya kawaida.View attachment 1318232

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata As sio tatizo bali taizo how come all students get As! nothing like wote
Shule ya sekondary Kemebos.

Haya matokeo sio ya kawaida.View attachment 1318232

Sent using Jamii Forums mobile app
Get As Sio tatizo but how com all students got As! nothing like all have the same ability thy must be a normal distribution curve ...... som tme it might be udthaifu wa NECTA
 
Wepesi wa elimu unachangia pia kwenye kufaulu vizuri watoto.

Nilisoma moja ya shule nzuri wakati wetu. Tulikuwa tunapewa kila kitu. Mitihani ikija kichwa kinawaka moto. Darasa letu la form 4 lilikuwa wa kwanza kitaifa ila div 1.7 zilikuwa chache sana. Elimu ilikuwa balaa. Unaingia kwenye mtihani unaona nyota.

Sidhani wanafunzi wa sasa wanapata ugumu kama wakati ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Multiple choice kibao hadi Hesabu, Physics, Chemistry hata Biology Kiongozi.
Alfu eti mashine ndiyo insahisha mitihani!!!!!!!!!!!!! 🤣
 
Back
Top Bottom