Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Jirani yangu mtoto alikua anamsumbua mama ake amnunulie calculator ya kufanyia mtihani ndo akaja kuniuliza nikastaajabu kumuhoji mtoto akasema ndio wameruhusiwa na kweli alitafutiwa hiyo calculator kuhusu kuitumia sina hakika maana sikukutana nae tena yule mtoto wala mama mpaka niliposikia walihama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tumeendelea kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera. Inaitwa Kaizirege. Watafute uangalie matokeo yao miaka 4 iliyopita. Kuanzia drs la 4 ,7. Form 2 form 4 na form 6. Pia angalia mazingira ya shule

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi huko Kagera ni shule ipi inamilikiwa na yule mama wa "Vijisenti vya mboga" na imeperform kwa kiwango gani safari hii? halafu mkitaka kujua uzuri na ubaya wa Condom basi nendeni kule Mbeya kwa wale mabingwa wetu wa Southern Sun Hotel mujionee F za kumwaga...lakini ukweli unabaki kuwa elimu ni kuwekeza na sio matumizi ya Condom
 
Kemebos hiyo shule hawachukui mtoto kilaza. Vipanga hao watoto acha kabisa mkuu.
 
Ina maana tuliosoma zamani tulikuwa vilaza? Au elimu ya zamani ilikuwa ngumu kuliko ya sasa? Au wanafunzi wa sasa wapo vizuri kuliko waliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app
OK wa zamani Miikuwa wenye vichwa na akili nyingi kuliko sasa Ila ikifika mitihani mlikuwa mnafeli mnaona mitihani migumu mnafeli au kupata madaraja ya chini enzi zenu mtoto mwenye akili shuleni mlikuwa mnampimaje kizee wewe?
 
Back
Top Bottom