Hii ni TZ???Nikitaka kutoa stress huwa narudi kuangalia haya matokeo [emoji1787][emoji23]
View attachment 2088670
View attachment 2088671
View attachment 2088678
kabisa.....Hii ni TZ???
[emoji3][emoji3][emoji3]Inawezekana.
Miaka hiyo mtu akipata div 1 mtaa mzima unafahamu.
Sahivi div 1.7 kama njugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ubora wa hesabu za kuchagua ? Au unahisi elimu bora ni maghorofa?Elimu ya kipindi hiki ipo imara sana... Tofauti na ya kipindi chenu... Mashule ni mengi ubora wa elimu umeimarika pia... Wale wa zamani lugha tu ni shida lakini ni maporofesa tena sio maporofesa wa kiswahili...