Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Waliifungia?

Kivip na Lin?

Shule mbona mwaka Jana imekuwa ya tatu kitaifa!!!

Kibali Tu Acha kuwa na roho mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Advance kaizilege ilifungiwa .... Kuna wanafunzi walicheat wakafutiwa matokeo... Sijui kama na waalimu walihusika... Kuna mdau alinidokeza kuwa ndo sababu jina likabadilishwa na kuwa hilo la sasa..., though I'm not sure.... Sina chuki na kagera... Kuna mzazi wangu ni wa huko...
 
Iko bukoba mkoan kagera.

Ni Kwanza kitaifa form four,ya Kwanza kitaifa la NNE

Na ya pili kitaifa form two.


Wengi hapo ni wahaya na wasukuma kidogo .

Sasa ukisikia wachaga wanavyojimwambafy hapa[emoji23]

Wahaya tunawachora tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe
Screenshot_20200109-232930_1578637099280.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAkunaga kitu kama icho aiseee

Trust me!! hata uwachukue genious wa duniani wooote

Uwaweke sehemu moja,uwape material sawa

halafu uje kuwapima kwa mtihani, watafaulu wote lakini never all the same highest pass mark

We wanafunzi 68!!,masomo yako 11,halafu woooote wapate masomo yoooote 'A' !!!

Ngumu kumeza hii!!
A, 81-100 waache madogo wabanane hapo katikati inawezekana kabisa
 
Hayo uliyoweka ni matokeo ya kidato cha pili ambayo wanafunzi wote wamepata daraja la kwanza kwa masomo yote 11. Inawezekanaje isiwe ya kwanza!?? Kama wanafunzi wote wamepata A ya point saba na hawajaongoza kitaifa,shule iliyoongoza wamepata nini!?? Au me sijaelewa ufafanuzi wako!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hinawezekana wamepata A za alama labda 80 wakati wenzao wa shule nyingine wamepata A za juu zaidi labda 90.
 
Mkuu, mtoto wa kikwete alipata division Zero au Four kama sikosei hapo hapo Feza. Unalizungumziaje na hilo??

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu iko hivi kwenye kupewa majibu sio kwamba mnaandikiwa vkaratasi muingie navyo,knachofanyika ni pepa la kesho linaingia shule usiku Mkipandisha prepo usiku walimu n mwendo wa kuwakaririsha.

asubuhi pakikucha mnaingia class mkiwa mshajua swali la kwanza litakuaje na lipoje mpk mwisho,sasa huyo mtoto wa kikwete yeye ni bichwa lake tu alishndwa ku capture vitu kwa muda mrefu kwenye ubongo wake.

ila si kwamba alitengwa au alinyimwa nafasi ya kuwa mmoja ya waliovujishiwa pepa,pale mitihani yote mikubwa inavujia pale.
 
Hawa madogo wa kileo wengi wanaandaliwa vizuri sana toka shule za awali kabisa jaribu tazama akina sie wengi msingi ulkuwa Kayumba na mwanzo mwisho ni "governmen schools" wapo waliopata 7,8,9,12,11,13, na A level 3,4,5,6,7 na amini nakwambia haikuwahi vuja pepa kundini,
Sie akina Tchao wa D,karai tuwakumbuka vipanga wetu
 
Hahahahaaaaa
Ubora wa elimua hupimwa kwa"impacts" ya waliozalishwa na hio elimu.
Miaka zaidi ya 10 Marian imekua ikitoa vipanga ila huwezi ona wahadhiri wa chuo,lawyer machachari,madaktari watata,ama waanzilishi wa kampuni mbali mbali.
Division zero za Zanzibar zina impacts kubwa mno kuliko division one za Marian girls

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom