Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,627
Shule ya sekondary Kemebos.

Haya matokeo sio ya kawaida.
IMG-20200110-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana tuliosoma zamani tulikuwa vilaza? Au elimu ya zamani ilikuwa ngumu kuliko ya sasa? Au wanafunzi wa sasa wapo vizuri kuliko waliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlio soma zamani sindio mmekuwa mawaziri wa wizara hiyo, mkawa vingozi wa baraza husika... Mkawa maporofesa... Lakini kizungu ndio kama hivyo lugha oevu...

Na ni lugha ya kufundishia na kujibia mitihani... Isipokuwa mitihani ya lugha tofauti kama kiswahili, kifaransa kiarab etc...
 
Kuna sababu nyingi hapo japo kuna baadhi ya shule matokeo yao huwa na ujanjaujanja.

Sababu za wanafunzi kufaulu sana nadhani kubwa kuliko lote hasa kwa shule hizi za private ni miundombinu bora na walimu wa kutosha wenye maslahi mazuri na wenye kuijua kazi yao,kulinganisha na zamani.Kumbuka kwa sasa hakuna haja ya kwenda mchikichini na vibanda umiza kufanya practicle na kupata notice kama ilivyokua zamani ni yeye mwanafunzi kujiongeza tu ili kupata kilichobora.

Pia hizo shule huwa na michujo mingi sana mpaka kufikia mtihani wa mwisho basi wanafunzi wanaobaki huwa cream tupu.

La mwisho shule ni biashara kama biashara zingine lazima watu wafaulu vizuri ili wapate wanafunzi wapya na pesa maana hata wakiweka ada 6M+ watu wataenda tu kwa sababu ya ubora.
Ina maana tuliosoma zamani tulikuwa vilaza? Au elimu ya zamani ilikuwa ngumu kuliko ya sasa? Au wanafunzi wa sasa wapo vizuri kuliko waliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sababu nyingi hapo japo kuna baadhi ya shule matokeo yao huwa na ujanjaujanja.

Sababu za wanafunzi kufaulu sana nadhani kubwa kuliko lote hasa kwa shule hizi za private ni miundombinu bora na walimu wa kutosha wenye maslahi mazuri na wenye kuijua kazi yao,kulinganisha na zamani.Kumbuka kwa sasa hakuna haja ya kwenda mchikichini na vibanda umiza kufanya practicle na kupata notice kama ilivyokua zamani ni yeye mwanafunzi kujiongeza tu ili kupata kilichobora.

Pia hizo shule huwa na michujo mingi sana mpaka kufikia mtihani wa mwisho basi wanafunzi wanaobaki huwa cream tupu.

La mwisho shule ni biashara kama biashara zingine lazima watu wafaulu vizuri ili wapate wanafunzi wapya na pesa maana hata wakiweka ada 6M+ watu wataenda tu kwa sababu ya ubora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wepesi wa elimu unachangia pia kwenye kufaulu vizuri watoto.

Nilisoma moja ya shule nzuri wakati wetu. Tulikuwa tunapewa kila kitu. Mitihani ikija kichwa kinawaka moto. Darasa letu la form 4 lilikuwa wa kwanza kitaifa ila div 1.7 zilikuwa chache sana. Elimu ilikuwa balaa. Unaingia kwenye mtihani unaona nyota.

Sidhani wanafunzi wa sasa wanapata ugumu kama wakati ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani elimu ya kipindi hiki imechakachuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufundishsji zamani ulikuwa manual zaidi.Kusoma kugumu.vitabu hakuna ,walimu wachache,kukariri kwingi kuliko kuelewa,shule mlikuwa mkisoma watu wazima vichwa vomezeeka kushika masomo.kugumu.

Zamani jitu miaka 20 eti liko darasa la saba
 
Back
Top Bottom