ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,142
- 17,618
Optimization:
Elimu ya wanafunzi inakuwa optimized kwa ajili ya kujibu na kufaulu mtihani wa mwisho.
Wanafunzi wanaingia kwenye mtihani wakijua maswali yanayoulizwa na namna ya kuyajibu na tricks za kufanya ili wamaximize scores.