financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,192
- 43,533
Nimeona St Francis ,eti aliyefeli ana div 1 ya 17[emoji3] wakati st kayumba kwetu hiyo ndo ilikua division 1 pekee, wengine wote ni four mixer maduara(zero), watoto wa siku hizi wana IQ kubwa aisee.Naona na St Francis nayo hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app