Hizi shule zinafundisha. Nina kijana alikuja kwangu akiwa form 3. Alikuwa wa 40 kati ya wanafunzi 45 lakini wasitani wa 89. Nikaomba shule 1 hapa mjini afanye test na wa form 4. Alitumia nusu saa kufanya mtihani wa Math. Hofu yangu nilijua labda maswali alofanya alishafanya kabla. Nikamwambia wiki kesho nakupeleka shule nyingine. Kati ya Maswali 24 alikosea 1 tu. Na nahisi ni kwa vile alikuwa na haraka.
Ukitaka kujua uwezo wao kaa nao. Likizo hahangaiki na daftari au kitabu. Kila kitu kipo kichwani.
Hawa vijana wamejengwa toka drs la 1. Ndo maana shule kama Kemobos sekondary wanachukua walomalizia palepale primary. Tafuta matokeo yao ya la saba. Wanaenda nao mpaka form 6. Ni cream product hasa.
Mtoto hafikirii mtihani. Anajua
Sent using Jamii Forums mobile app