Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,937
- 236,491
umeni suprise saint,maana nmeweka cursor kwenye hyo id ikaja picha kama yangu yani
nikashtuka asee hebu acha nianze fatilia uandishi wa huyu kiumbe ninaefananishwa nae,
ila kiukweli sijui kwann nafananishwa sana,sijui sijui sijui,incharge Hammaz
umemsikia dada ako? macho yake yapo katika wakati mgumu kutofautisha.
Avatar zetu ukiziangalia kwa uharaka zimefanana, unajua ni kipi? Ni ndevu na wote ni wazungu.
Kwenye uandishi,uandishi wako umetofautiana na mimi. Unafupisha baadhi ya uandishi wa maneno ila mimi napendelea kuandika neno zima.
Ila mpaka tunafananishwa kwa namna moja ama nyengine (pengine) baadhi ya mambo kati yetu yanalandana.
Saint anne Njoo upate utofauti leo,usije ku feli test kesho.
Kuna namna mnaendana..Ni kweli?
Sikuwa ni mwenye kufahamu huwezi amini. Ijapokuwa huwa namsoma kwenye majukwaa tofauti tofauti lakini bado sikugundua kwa hilo.
Nitaanza kumfuatilia huyu mheshimiwa CONTROLA, thanks kwa kugundua ufanani wetu.
Vipi na wewe hii na Da'Vinci Ni mtu mmoja??Ukistaajabu ya Musa utaona ya mtu mmoja kuchati na ID mbili
Sichangii mtu id..
Kwa form two kawaida mzeeShule ya sekondary Kemebos.
Haya matokeo sio ya kawaida.
View attachment 1318232
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana...kwanin umezifananisha?
Sichangii mtu id..
MmmhmmhHapana...kwanin umezifananisha?
Anaipenda hii ID
Mimi Nafikiri ungeangalia Na ya form four mwakaShule ya sekondary Kemebos.
Haya matokeo sio ya kawaida.
View attachment 1318232
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ya sekondary Kemebos.
Haya matokeo sio ya kawaida.
View attachment 1318232
Sent using Jamii Forums mobile
Kaangalie matokeo ya form four ya Hili darasa, hawakubahatishaShule ya sekondary Kemebos.
Haya matokeo sio ya kawaida.
View attachment 1318232
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli. Kuna shida gani wanafunzi kufaulu vizuri, kama waliandaliwa vya kutosha? Ingawa hizo shule zinabeba cream. Kemebos interview hufanyika maeneo tofauti tofauti hapa Tanzania, ili kupata cream.Hivi wizi wa mitihani hauwezi kuwa chanzo cha ufaulu mzuri?
HAIWEZEKANI, HAIWEZEKANI, HAIWEZEKANI. Kwa sisi ambao tulibahatika kusoma huko kulikostaarabika ni ngumu kwa wanafunzi wote kufaulu kwa ufaulu unaofanana, hii inatokana na utifauti wa kibinadamu. Hao watu wakifika chuoni huwa VILAZA kinyama mpaka unashangaaaaa.Si kweli. Kuna shida gani wanafunzi kufaulu vizuri, kama waliandaliwa vya kutosha? Ingawa hizo shule zinabeba cream. Kemebos interview hufanyika maeneo tofauti tofauti hapa Tanzania, ili kupata cream.
Usiwe wasahau wewe si wa kwanza kusoma kulikostaaribika. Lakini huo ukilaza unaousema umeuona kwa nani ambaye alikuwa mwanafunzi wa wapi? Lakini pia kupata division 1 point 7 form IV, hakumfanyi mtu akawe best student kwenye course yoyote ya engineering au labda medicine akifika chuo. Mitaala yetu inamwandaa mwanafunzi kuwa bora kwa kila hatua, hivyo hawezi hukumiwa kwa hatua nyingine ambazo zina maandalizi tofauti.HAIWEZEKANI, HAIWEZEKANI, HAIWEZEKANI. Kwa sisi ambao tulibahatika kusoma huko kulikostaarabika ni ngumu kwa wanafunzi wote kufaulu kwa ufaulu unaofanana, hii inatokana na utifauti wa kibinadamu. Hao watu wakifika chuoni huwa VILAZA kinyama mpaka unashangaaaaa.
Hata huko, hakuna matokeo kama haya.Usiwe wasahau wewe si wa kwanza kusoma kulikostaaribika. Lakini huo ukilaza unaousema umeuona kwa nani ambaye alikuwa mwanafunzi wa wapi? Lakini pia kupata division 1 point 7 form IV, hakumfanyi mtu akawe best student kwenye course yoyote ya engineering au labda medicine akifika chuo. Mitaala yetu inamwandaa mwanafunzi kuwa bora kwa kila hatua, hivyo hawezi hukumiwa kwa hatua nyingine ambazo zina maandalizi tofauti.
Shule ya sekondary Kemebos.
Haya matokeo sio ya kawaida.
View attachment 1318232
Sent using Jamii Forums mobile app