Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

Wanafaulu watoto ni kweli.
Mimi nimesoma zamani ila karibu masomo yote hatukuwahi kuwa na walimu kwa miaka yote.

Mfano Basic math mwalimu tulimwona form 2 term ya pili na form 3 tu.Form 1 yote hatukuwa na mwalimu na form 4 yote hatukuwahi kuona mwalimu wa hisabati ila mtihani wa mwisho nilipata C.Sikuwahi kusoma tuition hata siku moja,kwani tuliishi kijijini sana.

Kwa mazingira ya sasa yalivyo,ninaowashangaa ni wale wanaopata div.3 ,4 ama 0!

Na tena nilikuwa na uhakika nilipata A za chemistry,biology na History. Ila kuna watu ni zaidi ya mashetani walinibandikia C.Hadi leo sina imani na NECTA.Wana shule zao wanazozipa kipaumbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu iko hivi kwenye kupewa majibu sio kwamba mnaandikiwa vkaratasi muingie navyo,knachofanyika ni pepa la kesho linaingia shule usiku Mkipandisha prepo usiku walimu n mwendo wa kuwakaririsha.

asubuhi pakikucha mnaingia class mkiwa mshajua swali la kwanza litakuaje na lipoje mpk mwisho,sasa huyo mtoto wa kikwete yeye ni bichwa lake tu alishndwa ku capture vitu kwa muda mrefu kwenye ubongo wake.

ila si kwamba alitengwa au alinyimwa nafasi ya kuwa mmoja ya waliovujishiwa pepa,pale mitihani yote mikubwa inavujia pale.
Controla Kuna I'd flani huwa naifananisha na id yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maswali hua najiuliza sana kuhusu matokeo ya mwaka huu ya kidato cha nne St Francis Girls ya Mbeya; watoto 166 wamefauli kwa daraja la I tena point 7 zikiwa nusu. Lakini itapita miaka 50 bila kupata mmoja wa hao wanafunzi kua wamegundua kitu fulani hapa Tanzania.

Kingine ingekua nchi zilizoendendelea zinazojua maana ya mwanafunzi kupata alama A kwa masomo yote lazima serikali ingeweka macho hapo ili wanafunzi hao waweze kutoa kitu unique katika jamii yetu. Cha kushangaza kwenye kazi baada ya hao wanaopata Daraja la I la pointi 7 utendaji wao wa kazi inakua afifu ata zaidi ya aliyepata daraja la III la pointi 25.

Naamini elimu yatu inashida kubwa sana na inachngiwa na serikali yenyewe.
 
Hammaz na controla huwa naona kuna namna mnaendana Kwenye uandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
umeni suprise saint,maana nmeweka cursor kwenye hyo id ikaja picha kama yangu yani

nikashtuka asee hebu acha nianze fatilia uandishi wa huyu kiumbe ninaefananishwa nae,

ila kiukweli sijui kwann nafananishwa sana,sijui sijui sijui,incharge Hammaz

umemsikia dada ako? macho yake yapo katika wakati mgumu kutofautisha.
 
Avatar zetu ukiziangalia kwa uharaka zimefanana, unajua ni kipi? Ni ndevu na wote ni wazungu.

Kwenye uandishi,uandishi wako umetofautiana na mimi. Unafupisha baadhi ya uandishi wa maneno ila mimi napendelea kuandika neno zima.

Ila mpaka tunafananishwa kwa namna moja ama nyengine (pengine) baadhi ya mambo kati yetu yanalandana.
 
Saint anne Njoo upate utofauti leo,usije ku feli test kesho.
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya mtu mmoja kuchati na ID mbili
 
Nimekumbuka enzi zangu kule kijijini darasa la 7 tulifaulu wanafunzi 3 kati ya wanafunzi 85,na form 4 division 1&2 tulikuwa wanafunzi 13 kati ya wanafunzi 78.
 
Back
Top Bottom