Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Unazeeka vibaya, umesahau JF inaweza kuwa na members zaidi ya 30% ambao wamesoma kwenye shule zinazoitwa ST. E.g St.Hassan, ST. Mariam, ST. Joseph, ST. Mwiru etc. wote hawa unawaona vilaza? Waalimu wengi wa vyuo vikuu bongo hapa wamesoma kwenye hizo shule.
I'm Genius!
Nimepitia moja ya hizi shule ila mmmh! Hoja haina mashiko sana mana naona wengi walopitia hizi shule ndo tuliochangia kuporomoka na kurudi nyuma kwa maendeleo ya hii nchi. Jaribu kufwatilia tuliowapa dhamana ya uongozi wa sehemu mbali mbali wamepitia shule gani? Na walio kwenye ofisi mbali mbali waliopitia hizi shule. Tulikuwa tukifaulu kwa kuogopa adhabu tu za kutesana tumeshindwa kuwa hata wabunifu kwa kukaririshwa! Asilimia kubwa ya wajasiriamali na wawekezaji na wanajitahidi kuinua uchumi wa hii nchi mfano wafanya biashara hata kwenye miti hawakupitia
Shikamoo Tosa boys
hiz shule zilikuwa za kanisa roman catholic nk gvt ikazitaifisha
bt baadh ya shule zisharud kwa hinaya ya kanisa
mfn
forodhan~now st joseph cathedral ambay imetoa TO mwaka jan n mwaka huu advnc
Pugu;ipo kwny mkakat wa kurud kanxan
nk
Mie Nilisoma shule bora East Africa Budo Secondary School ipo Kampala hujaiweka mkuu japo Primary nilifaulu kwenda kweny moja ya shule tajwa hapo juu.Mwaka Jana Tambaza ilikuwa ya tatu kutoka mwisho matokeo ya kidato cha Sita eti nayo asopita hapo ni Kilaza mi nadhani walopita hapo ndo vilaza. Mnyika alitoka na one kali sana seminary akatia maguu Tambaza form six akala three.
Wapi ZANAKI enzi hizo chini ya MRS MRAMBA ilikuwa ni hatareeee