Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,231
- 1,142
Hata Mimi najua iko hivyo.Hata shule za serikali,kuanzia msingi mpaka sekondari wanakwenda Kila likizo,hasa madarasa ya
4na 7 kwa msingi na
Kidato Cha 2 na 4 kwa sekondari,kwa hiyo suala la kutokuheshimu likizo,linaanzia serikalini.
Maafisa elimu mikoa na wilaya ndio wanawaagiza waratibu kwamba madarasa ya mitihani watoto waendelee kusoma wakati wa likizo.
Wanafunzi kutokwenda likizo lipo pia katika shule za serikali.