jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 5,690
- 7,556
Hivi wwe unajuwa maana ya Jamii forum,humu ndiyo ujumbe unawafikia kirahisi hao walengwa,hata Hayati Magufuli habari nyingi alikua anazipata humu,Mama nae anapitaga humu pia,na kwenye hii maada mi naona tutakaa sana utakuja kuniambia siku moja!! Hapa ni Walimu na Wazazi wa Tanzania wanabadilishana mawazo kuhusu Elimu ya Watoto wao,tunataka kila mtu ajenge hoja yake na si kususiana!! Asante!!Kama wewe ni mzazi na umepleka mwanao shula na unakuja hapa kulalamika basi kuna shida mahali tena kubwa sana................. halafu wewe ni wale hamna elimu mmepata pesa mnafuata mkumbo wa kuwapeleka watoto shule sio mbaya lakini ukafuata kinachofanywa sio uwe na hisia tuu wewe lazima Elimu uako iko chini sana tuu