Shukrani sana wana JF

Shukrani sana wana JF

Kibendi hapa kishaanza naona anatafuta maembe mabichi na udongo usiwe na wasiwasi Vin Diesel



Nishasikia KOKUTONA na nayafanyia kazi kwa sana aise



Yaani nilijitoa mapema maana naona kama naleta kiwingu vile na Vin Diesel ashaanza kuona wivu aise

Vin Diesel nenda tuu na ufike salama ila KOKUTONA angalia sana usije yakakukuta ya Mamndenyi maana nae alipendwa kama wewe
Copy to Erickb52




Erickb52 sio uchonganishi bana naona KOKUTONA na Vin Diesel wanaringia kuwa pamoja ila ni vile tuu KOKUTONA hamjui Vin Diesel vyema

jitahidi mkuu maana kuvuja kwa pakacha ni.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom