Alafu tunyanyuke wote.....
Says who......that the fruit is forbidden?
It is just a name....it isn't forbidden at all.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ngoja tulale kidogo hapa hapa...bado nguvu sina
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ha ha haaaa wapenda raha wewe..........haya lala...
Sasa kuna raha gani zaidi ya kulala hapa na wewe...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hebu muambie huyu maana amezidi kwa kweli....nataka akimuachie huyo bibie na awe na kibendi tayari.
Fanya kazi Mr Rocky umesikia maagizo hayo?
Well said Mr Rocky, pata LIKE za kutosha, maana umekuwa mwepesi kuelewa lol
Vin Diesel nenda tuu na ufike salama ila KOKUTONA angalia sana usije yakakukuta ya Mamndenyi maana nae alipendwa kama weweUmtulize? Hebu ngoja niishie hapa nirudi kwa KOKUTONA wangu.
Hahahahaaa uchonganishi huu
Erickb52 sio uchonganishi bana naona KOKUTONA na Vin Diesel wanaringia kuwa pamoja ila ni vile tuu KOKUTONA hamjui Vin Diesel vyemaHahahahahaaa una moyo lol
Haya komaa na Mamndenyi
Vin Diesel nenda tuu na ufike salama ila KOKUTONA angalia sana usije yakakukuta ya Mamndenyi maana nae alipendwa kama wewe
Cop
Kibendi hapa kishaanza naona anatafuta maembe mabichi na udongo usiwe na wasiwasi Vin Diesel
Nishasikia KOKUTONA na nayafanyia kazi kwa sana aise
Yaani nilijitoa mapema maana naona kama naleta kiwingu vile na Vin Diesel ashaanza kuona wivu aise
Vin Diesel nenda tuu na ufike salama ila KOKUTONA angalia sana usije yakakukuta ya Mamndenyi maana nae alipendwa kama wewe
Copy to Erickb52
Erickb52 sio uchonganishi bana naona KOKUTONA na Vin Diesel wanaringia kuwa pamoja ila ni vile tuu KOKUTONA hamjui Vin Diesel vyema
Mamndenyi waache wafurahie ila KOKUTONA hajamjua Vin Diesel kuwa ni mwenyekiti wa chama cha penda penda na ana degree tatu za kupenda [penda
Siku yakimkuta KOKUTONA hatutakuwa na msaada mwingine ila kumpeleka kwa katibu kata

ha ha ha ha haaaa katibu kata wa kata ya Mkata
ataipataje huko pori kwa pori!
Tena yeye atakuwa na balaa ataachwa na kibendi sasa maana Vin Diesel ndo zake kuweka na kuacha