Shukrani sana wana JF

Shukrani sana wana JF

Dear Brothers n Sisters wa JF.
Recently nilipata msiba wa kuondokewa na shangazi na binamu yangu.
Naomba kutumia jukwaa hili kuwashukuru sana wana JF wote walionipa pole za msiba huo.
Asante kwa wote mlionipigia simu,text,PM,na wote waliochangia kwenye uzi.
Mbarikiwe sana watu wa Mungu.
Pamoja sanaaaaa.
VD

one luv buddy..
 
Halafu mimi nakuchukia kwa sababu unampenda marejesho,na bahati nzuri sana sasa hivi ana mimba ya Filipo kwa kwa hiyo sitaki kumsababishia miscariage kama ilivyotaka kutokea kwa charminglady wakati bado Wakati ndio sasa anahangaika naye
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom