Shukrani sana wana JF

Shukrani sana wana JF

hah hah hah hah! Utachoka sana mwaka huu! Ila bado hujakomaa kiume. Ukipata uzoefu wa kutosha umtokee King'asti au Kongosho. Lol...



Upo mzee wa ukaguzi..??Naona hunitakii mema sasa,huyo wa kwanza uliyemtaja naona kama life ban itanihusu zaidi Kongosho naye mh..............ila usiache kumsalimia mke wetu marejesho hapa Vin Diesel hahusiki....
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaa yaani umenichekesha ni hicho ki wink cha kutuchungulia......bado nacheka.....ha ha ha haaaa Vin Diesel tunachunguliwa na Paloma ha ha haaaaa haaaa......haaaa haaaa

We mwache achungulie tu....atastuka pamekucha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom