Shukrani sana wana JF

Shukrani sana wana JF

Mr Rocky punguza pressure, mali umepewa bure bado unahaha.........tuliza machine hiyo fanya kazi ulopewa, kuingiza tumbo kwataka utulivu.

Tuache tupumue......tule vyetu......lol.......maisha mafupi ati.

Hebu muambie huyu maana amezidi kwa kweli....nataka akimuachie huyo bibie na awe na kibendi tayari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom