Mie ndiyo nilikuwa naanza kuyazoea mazingira ya lupango hivyo sikuzipata vizuri details za maisha ya kule 🙂🙂 ila nasikia kila baada ya siku 10 unakuwa eligible kwa "conjugal visits" lol!!!
Mkuu BAK kama hii right ipo huko aise nitaomba wanipeleke huko dah ila isiwe kwa mke wangu ila iwe kwa mrembo mmoja atakayechaguliwa na mods (hapa kuna mtu kaiba password yangu wallah)
Hahahahahaha lol!!!! Mkuu Rocky usiwape MODS nafasi hiyo maana baadhi yao ni mhhhhh!!!! Wanaweza kukuchagulia mrembo pasua kichwa tena si ajabu si member wa hapa lol!!! Utajuta kuzaliwa 🙂🙂
Ndo hapo mkuu siku hizi bastola nje nje bana naogopa kutolewa ubongo bure hapa na kuwahishwa kwa Sir God bila kupenda mkuu BAKKwi kwi kwi kwi halafu si unajua watu walivyokuwa na 'bistola' siku hizi, hawakawaii kukudedisha kisa umemsarandia mrembo wao lol!!!! Mie simo 🙂🙂
Teh teh teh...wengine bans tushazizoea. Kwanza nashangaa karibu miezi mitatu sasa sijapewa ban.
Naona mods wamezubaa siku hizi.
Ila pole.
Komredi,
Unajua hawa watu wenye ID moja wakipata ban wanaumia kama wamemegewa wake zao.
Hongera kwa kuvunja rekodi ya kutokulamba ban kwenye hii ID yako kuu.
Kuna mod mmoja namsitiri, nikimjua demu wake lazima nimmegee.
Hahaha trainer my eye has been on the sparrow toka enzi za darhotwire ujue. Nimeshawahi hata kukusihi a few times uache kulumbana na mtu. You had a bad temper but it has faded in a beautiful way. Najua hata Mwali alichangia kukubadilisha lol. You should never buy a gun aisee..
Ha ha ha...mi nikajua umepata jimama la Ki-Tanga, limekuficha ndani; Mpaka msalani lakubeba mgongoni kukupeleka. Lakukogesha pia, na visosi vya vikombe kedekede mliwatoni, sijui vya nini!. Ha ha ha, karibu tena bhana!.LoL!!! Na huyo MOD kama si njemba bali ni mrembo, itakuwa ni aje!? Kumbe unamfahamu tayari!!!! Ana bistola yule!!
Kwahiyo unazihamisha pm kwenye folders zingine zisionekane eehh!we mtata mama mkwe