Tehe mimi sipendi BAK aendelee kuwa Lupango ila nina wasi wasi kwamba kunaweza kukatokea double standard katika ku-enforce taratibu za JF
Hey BAK, kumbe ulikumbwa na matatizo. Nikasema mtu gani ameweza kukuficha kiasi kile mpaka sikukuona kwenye Man U vs Arsenal..!Pole kwa ban na kile kipigo tulichowapa. Welcome back jamvini besti!!
Ngoja namimi nivunje taratibu za JF kumbe adhabu inaweza kupunguzwa???? na hii nitaitumia kama reference kwa kesi yangu.
Ila wasi wasi wangu ni je kuna mtu atafungua thread kuomba nitolewe lupango?
Nakala: Invisible
[FONT=century
gothic]Kila la heri Mkuu, lakini kuvunja sheria kwa kukusudia
huku ukijua madhara yake ni kosa juu ya kosa unaweza kucheza lupango
miezi mitatu. Mie ushauri wangu, usithubutu kufanya hivyo hasa
kama huko addicted na kii kitu inaitwa JF.[/FONT]
Ni kweli Jf ni kijiwe kizuri na ni sehemu ya kujifunza na kujua mengi.LoL!!!! Mie nina wasiwasi aliomba samahani mara nyingi tu kwa MODS 🙂🙂, ngoja aje hapa afunguke...Yaani pacha wako Mhhhhh!!! ni mpole kupita kiasi dah!!!!! Yeye ataomba samahani hata pale ambapo hastahili kuomba samahani au atakwambia ahaaaa acha tu nipotezee hiyo badala ya kuumiza kichwa changu bure....Kuna binadamu wengine Mungu kawajalia sana na huyu pacha wako ni mmoja wao. Mie niliwamiss wengi pia...unajua JF imeshakuwa kijiwe maarufu sana chenye burudani za kila aina na ni shule pia ya aina yake.