Shujaa wangu mimi 2014, Mama achambua matembele ndani ya daladala

Wale wanaopika chips kuku mahotelini na migahawani wananawaga mikono na sabuni?

Ilo sio swali la kuuliza....probably she talk about hygienic.......suala la wapishi wa mgahawaa kunawa ilo sio tatizo lake kuna mamlaka husika.
Hapo hacha mie njipendekeze kwa King'asti
 
Last edited by a moderator:
Shosti...

Chapati za bekari

Kwiiiii



Huyu ni mama mwenye kutunza familia yake unlike most of us. Anatengeneza kitoweo kabisa, akifika nyumbani anapika chap chap.

Well hata mimi ni shujaa. Nikitoka ofisini nanunua chapati bakery nikifika nakorofisha chai ya sturungi fasta fasta. Msininyanyapae

Cc Eiyer, Mentor
 
Last edited by a moderator:

Hata kama tuna uhaba wa mashujaa,kuchambua matembele kwenye daladala haiwezi kuwa ushujaa unless kuwe na definition mpya ya ushujaa.

Au pengine huyu ni shujaa wa wanaoishi maisha ya kwenye tamthilia za kifilipino.
 
Anasave time u never know ana njaa kiasi gani? Sasa mpaka afike nyumbani aanze kupika utumbo si utakua umeshakifunga.
 
Tumepanda wote daladala UBUNGO TO KIBAHA pale SIMU 2000 alafu ghafla kufika BARUTI ukatoa mfuko na kuanza kuchambua matembele, huku abiria tukishuhudia, mama weee hongera sana!

attachment.php

Wamama wengi ndo msingi wa familia, wakitembea, wakiongea na mengine meng huwek familia mbele.

I lov you mama
 
hivi ni ustaarabu kweli kumpiga mtu picha bila ridhaa yake alafu kumuanzishia mijadala kwenye mitandao ya kijamii bila idhini yake?
Nauliza tu.
 
Acha akili za umaskini ww,mkubwa mzima unawaza ushirikina..

huo sio ushujaa bali ni vioja labda kama me sielewi maana ya ushujaa kuhusu masharti ya mganga nimesema "huenda" it means sina uhakika!

WEWE NI MGUMU WA KUELEWA MWEPESI WA KUSAHAU!
 
sisi wa uswahilini tunajua maana ya hicho anachokifanya, wewe wa uzunguni ukirudi nyumbani unapitiliza moja kwa moja mezani unakuta chakula kiko tayari, umeshatayrishiwa na mfanyakazi wako! pengine huyo mama kichwani mwake anawaza watoto wamerudi shule nami siko nyumbani wanahitaji kula, kitendo cha kufika nyumbani nikae nianze kuchambua mboga itachukua muda mrefu, akaona atumie huo muda kwa kusafiri na kuchambua mboga yake, na bado akifika nyumbani akatafute maji, na inawezekana kabla hajafika nyumbani akiona mti njiani anaubeba kwa ajili ya kuni....HAYO NDIYO MAISHA YA WALIYO WENGI TANZANIA.....LKN WEWE WA UZUNGUNI UTASTAAJABU HAYA NA MWISHO WA SIKU UTASEMA KUWA NI MSHIRIKINA KAMA MTU MMOJA KWENYE HUU UZI ALIVYOSEMA
 
Back
Top Bottom