ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,873
Hamna kitu kizuri utumiapo muda kwa kitu cha maana kama alivyofanya huyo mama ndani ya gari.
Hajamanisha hivyo ila mboga hiyo mara nyingi huliwa na watu wa kipato cha chini kwasababu ni rahisi bei..sio kama wengineo wanakula hiyo na mboga zingine kama 6....lakini Harbinder seth analamba bil 321 anakula kona shaaa wenye hela wanabaki kupiga mayowe Rais anasema hajui...kula matembele ni umaskini? au hii mboga wanakula watu maskini tuu?
Tumepanda wote daladala UBUNGO TO KIBAHA pale SIMU 2000 alafu ghafla kufika BARUTI ukatoa mfuko na kuanza kuchambua matembele, huku abiria tukishuhudia, mama weee hongera sana!
![]()
Kujali muda ndio somo kuu hapa kwa mama na kutoigiza maisha...
Sijajua USHUJAA wake ni nini haswa? Naomba kueleweshwa.
Hiyo avatar .........!!
Hivi leo umeniamkia?
we unaweza? kuchambua mboga kwenye daladala? hata kama najali muda sio kihivyo
uchambue matembele kwa daladala alafu smart phone umuachie nani?
African mother/woman is the best. Jana kwenye gazet la dailymail online la uingereza lilichspisha stori ya kuhuzunisha sana kuhus Emmanuel adebayor mchezaj wa totenhamhotspar. Ambaye alingara sana akiwa asenal.Sijajua USHUJAA wake ni nini haswa? Naomba kueleweshwa.