masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,675
- 12,335
we unaweza? kuchambua mboga kwenye daladala? hata kama najali muda sio kihivyo
ninamenya hadi mihogo
we unaweza? kuchambua mboga kwenye daladala? hata kama najali muda sio kihivyo
Hapo unakuta anamakazi kibao
Wanawake WA tz tunazeeka sababu ya makazi yaliyopitiliza unapumzika kidogo shughuli chungumzima
wengine mnazeeka kwa kuendekeza chini na kuchoropo...
P.umbu zako wewe
wengine mnazeeka kwa kuendekeza chini na kuchoropo...
Hubby maneno makali hayo.
ninamenya hadi mihogo
Tunafanya utani tu. Lakini huyu mama kinachomtesa ni pamoja na umaskini na hapo anahatarisha afya yake na ya familia. Unaanzaje kuandaa mboga kabla haujanawa mikono na sabuni? Halafu mboga huoshwa kwanza kabla ya kuchambuliwa. Hii itazuia kama kuna kemikali na bakteria wowote kuendelea kuambukiza tishu mbichi za mboga.
Umaskini sio ushujaa. Tusijivunie ujinga
ninamenya hadi mihogo
samahani mama twins wangu, mkono umeteleza
Umaskini gani sasa kuchambua tembele na kuokoa mda hakuna tatizo hafu nijuavo mboga yoyote inachambuliwa kuondoa kama ina wadudu au imeanza kuharibu then unaiosha unaikata inapikwa kuchambua tembele sio umaskini tena ni mboga recommended kabisa
P.umbu zako wewe hali halisi ya maisha ya watanzania haswa wanawake tena WA vijijini analima na mtoto mgongoni.
Akitoka jembe begani kuni kichwani au ndoo ya Maji akifika home anapuliza Moto apike na shugjuli nyingi
sana kulala usiku mwingi kuamka mapema sana
Inaumiza sana halafu wee unasemea kuchoropoa nini
ur insane
Son of the gun:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:
Tunafanya utani tu. Lakini huyu mama kinachomtesa ni pamoja na umaskini na hapo anahatarisha afya yake na ya familia. Unaanzaje kuandaa mboga kabla haujanawa mikono na sabuni? Halafu mboga huoshwa kwanza kabla ya kuchambuliwa. Hii itazuia kama kuna kemikali na bakteria wowote kuendelea kuambukiza tishu mbichi za mboga.
Umaskini sio ushujaa. Tusijivunie ujinga
pole wale waliounga mwili mmoja na 'masista du'. Hongera mama. Ila sijajua hizo 'matembele wastes' mabaki ya matembele alikuwa anayaweka wapi ?