Shtuka..! Unaibiwa

Hii inaitwa hard target. Unascore kwenye imposible angle...wale mabeki wamejenga ukuta dizain kama wa berlin lakini mshambuliaji makini kabisa anafunga kwa shuti linalo move kama ndizi Tena dakika ya 119.

Kwako mwalimu kashasha....umenielewa
Inaitwa banana chop, mpira una curl kupitia curved shot ya juu, unapita ukuta, kipa anakwenda markiti na mpira unatua kulee anakotagia kuku kupitia digiriii tisini
 
Subiri siku tutakayo kaa siti moja mimi na wewe ndio tutajua nani huwa mzaifu kati yetu.
 
Hahahaaa. Kazi ulikuwa nayo aiseeee.

Hivyo unayo mpaka sasa hiyo tabia?
Chat za basi sifuatilii siku hizi, ila nikiwa ndani ya basi sitaki kukaa na mmama wala mbaba MTU mzima asipokuwa mrembo basi substitute awe mchizi mchizi kama mzee baba hapo tunaweza piga story kibao siasa,Mpira ngumi nk
 
Unahakika? Brenda wangu kaenda leo Arusha. Je kavaa suruali nyeusi
Dah pole mkuu ila sio wako ww ila kwanin midada ya siku hizi inapenda sana kitombo halafu kwa kuwa inaongwa babae zao wanatupa presha tu
 
Kama kuna uwezekano tuunganishe zimu zao na GPS pindi wanaposafiri
Madereva wa uber tu wanazichezea GPS itakuwa papuchi yako we Brenda wako akosafiri usitake kujua yanayojiri njiani au huko aendako maana utaumia bure.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…