Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
hiii imekula kwenu hakuna cha kuwasilisha wala nini
Bao la kisigino:clap2::clap2::clap2:
hiii imekula kwenu hakuna cha kuwasilisha wala nini
Bao la kisigino:clap2::clap2::clap2:
Ninaushahidi pia niambieni nitumie njia gani umma ufahamu ukweli kwani ndugu yangu aliuwawa na hakuwepo karibu na kituo kama taarifa ya polisi inavyosema M.50 karibu na kituo jamaa alipigwa risasi na polisi tena anayemfahamu kwa sura na jina zaidi ya kilomita 2.5 kutoka kituo cha polisi.
.....sasa mlikuwa mnatishia nyau? enzi za ''DIGITAL'' sio mia analog yenu ya enzi za mwalimu.....! hicho kitumbua mtatapika tu!
Spika amehairisha bunge bila kuzungumza lolote kuhusu hatima ya Lema kuzungumziwa.
Kumaliza kipindi cha bunge bila kuzungumzia suala hili kwa mkwara kama spika alivyoahidi ni dhahiri kwamba issue hii imewakalia vibaya CCM na wanaona bora liishe kimya kimya
LABDA kanisa likiingilia
LABDA kanisa likiingilia
Wlijua wakipiga biti jamaa watarudi nyuma kudadadek,
Wanadhan watanzania wanawachagua wabunge masoro kama zamani, Haina kufuta kauli mpaka mtoto wa peasant arudi kwao namanyele akasumbe wanga wake wa maneno huko!,
Makinda - Kinda = Kinda na kinda maanake ni Mtoto! (aache utoto asikurupuke hapo wnaongelea maisha ya watanzania)
Kama vipi arudi kwao Makete
Mtoto wa mkulima ameaga kwao jamani hahahahaha nadhani hata Makinda kapigwa butwaa amejisahau kuleta hoja kujadiliwa tusubiri jioni tujue mbivu na mbichi
Anatumia busara sana huyu jamaa Mr Mbowe, anangojea proper time ili kujumlisha au siyo??????????Mbowe ndo amemaliza kutajhi Mawaziri Vivuli. Amesema kwa sasa Baraza kivuli litakuwa la CDM pekee hadi hapo watakapokuwa wamepatana na wapinzania wenzao.
Yule mama kajishtukia kuwa siku ile alikurupuka!!
LABDA kanisa likiingilia