The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
Au sio!Jitu lenye roho nyeusi utalijua tu
Watu walikuwekea bure ukasoma leo unaita watu kuku bila kujua wewe ndiyo ulikuwa kuku wa kwanza kumwagiwa huo mchele
Hicho unachoona cha msingi sina hata mpango nacho ila acha roho mbaya wema unalipaAu sio!
"Akili za kuambiwa changanya na za kwako" JK
Note: ukisha changanya na za kwako hauwezi kubaki kuwa kuku tena bali unakua EAGLE.
So hilo dua lako haliwezi kunipata.... na Mimi sio mzinzi..siwezi kukupitia!!!
You - You feel me?
Anatakiwa aanze kurecord vipindi vya kutiririsha madini kama huyu jamaa hapa chini;-
View: https://youtu.be/LISs8jqPe0s?si=rS6eeMyt1zfmBhGd
Dm yake imefungwa huezi mzamia mkuuMiongoni mwa watu ninaowafatilia sana jf huyu brother yumo namkubali sana,ipo siku namimi nitamzamia DM anipe madini.