Shout-out to Mshana Jr

Shout-out to Mshana Jr

Straight to the point;-

Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines...

And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind, then ikanipelekea kudiscover ya kwamba.

Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.

Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!

Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.

Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.

Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All
Kitambo nilishaga salute kwake.



MAGUFULI4LIFE.
 
Do you have a biff with him or something?!!

Au usikute nilichokiandika kimetrigger your demons ...na sasa una come hapa na makasiriko yasiyokua na maana!!!
Uwe mwepesi kung'amua multiple IDs
Screenshots_2023-09-15-15-50-05.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeeeee,KUKU tumeshatimba mazee.Ila sio mbaya hatuli vya chini siku hizi.utandawazi.
Khahahahaha.

Mimi MSHANA JR ndo aliesababisha nikafungua akaunti humu,Mambo yake si haba.
Nilikuwa napitia kimya kimya humu.
 
Why namheshim sana Mshana jr na simjui?. Kuna kipindi mwaka 2022 miezi ya mwanzon kabsa yan nilikua choka mbaya sina kitu sina chochte ni ful njaa ful zereu . Siku moja nikaingia google kuna kitu nlikuwa nasearch ikaja na topic ya huyu mwamba asee nikachota madini pale nikaenda practice then nikafnya attempt moja tu! Kitu ndaniiii, hapa nipo kwa ofis ya umma ful kiyoyoz na wifi bureew kabsa. Na till now nafanya kupitia malekezo yake aisee dunian kuna vitu vya ajabu sana
Uliogea chumvi ya mawe ukapata kazi au sio man!!?
 
Jitu lenye roho nyeusi utalijua tu
Watu walikuwekea bure ukasoma leo unaita watu kuku bila kujua wewe ndiyo ulikuwa kuku wa kwanza kumwagiwa huo mchele
 
Tatizo mnapenda kubishana,badala ya kutaka kujifunza. Energy zilizo kuwa trapped kwenye mwili, huwezi kuziondoa kwa kuomba. Nitatoa hili somo siku moja Mungu akijaalia.

Jifunze pia CAUSE and EFFECT LAW.
Chochote unacho ki experience ni matokeo tu.. either it was caused conciously ama unconciously.
It will bring the same effect.
Ntakukumbusha mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom