MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
Anatakiwa aanze kurecord vipindi vya kutiririsha madini kama huyu jamaa hapa chini;-True mshana Jr ni smater Sana
Anatakiwa aanze kurecord vipindi vya kutiririsha madini kama huyu jamaa hapa chini;-True mshana Jr ni smater Sana
...Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
daaaaah Yani Hadi muda huu, sijajua maana halisi ya meditationHuwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa released
Huwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa releas
Ipo hivi:- ndani ya miili yetu kuna Mifupa,..ambayo chakula chake ni intelligence Ili kuifanya Mifupa kukuwa na kustawi. Nje ya miili yetu kuna Universe, ambayo chakula chake ni maneno . Kwahiyo basi ndiyo kusema ...mtu hapaswi kuruhusu maneno mabaya ya dictate kilichomo ndani ya mwili wake. Sina hakika kama umenielewa!Huwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa released
Nyie ndo waleee...mkitingwa kidogo tu...mnawazaaaaa..mpaka mnakua kama fidodidodaaaaah Yani Hadi muda huu, sijajua maana halisi ya meditation
Tatizo mnapenda kubishana,badala ya kutaka kujifunza. Energy zilizo kuwa trapped kwenye mwili, huwezi kuziondoa kwa kuomba. Nitatoa hili somo siku moja Mungu akijaalia.Ipo hivi:- ndani ya miili yetu kuna Mifupa,..ambayo chakula chake ni intelligence Ili kuifanya Mifupa kukuwa na kustawi. Nje ya miili yetu kuna Universe, ambayo chakula chake ni maneno . Kwahiyo basi ndiyo kusema ...mtu hapaswi kuruhusu maneno mabaya ya dictate kilichomo ndani ya mwili wake. Sina hakika kama umenielewa!
Ivi Mshana ni shabi kindaki ndaki wa timu ipii hapa TZ?Saa hizi Mshana jr bado anajifukiza ndumba 😂😂🔥
Au sio!Tatizo mnapenda kubishana,badala ya kutaka kujifunza. Energy zilizo kuwa trapped kwenye mwili, huwezi kuziondoa kwa kuomba. Nitatoa hili somo siku moja Mungu akijaalia.
Jifunze pia CAUSE and EFFECT LAW.
Chochote unacho ki experience ni matokeo tu.. either it was caused conciously ama unconciously.
It will bring the same effect.
Makolo FC 😂 na tayari alishatangulia ZambiaIvi Mshana ni shabi kindaki ndaki wa timu ipii hapa TZ?
Ok sawaStraight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind, then ikanipelekea kudiscover ya kwamba.
Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.
Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.Straight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind, then ikanipelekea kudiscover ya kwamba.
Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.
Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All

Kuna namna Mungu huongea nasi kupitia watu wake na si lazima hayo mazungumzo yakulenge wewe lakini kadiri mnavyoongea ni kama anayezungumziwa ni wewe mwenyewe kupitia wewe na huyo mtu.. Its a very interesting situationAsee...huenda kuna Wana JF wananiombea bila Mimi kujua...cause jana nilipigiwa simu na mtu...tukaongea...KILA nilivyokua nikiisikiliza sauti yake...ni kama ilikua inanijaza Matumaini ya kuendelea kupambana...japo tulikua tunaongea vitu vingine kabisa vya kusalimiana....
I was weak...lakini mara baada ya maongezi ..nikapata nguvu za ajabu...asee Mimi sielewi asee...nafikiri Mungu alikua ndani yake...
Question to Mshana Jr
Hivi ndani ya sauti ya mwanadamu kuna nini?
Kwanini kuna baadhi ya watu hutumia mizizi kuiweka mdomoni na kisha kuongea na watu Ili kukubaliwa mambo yao?