Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,164
- 128,858
Mkuu Mzee wa Rula, ulijuaje hiyo 10,000 ndio niliyohakikishiwa?!. Ukiongeza na 10,000 ndio standard kiwango cha zile bahasha zetu za khaki, and its just enough to make my day, kwa hiyo ni kweli kabisa, sina bei kabisa!,Il wewe Pasco ni mnafiki sana. Hutabiriki n uliyoandika ni kama mtuvaliyeahikishwa 10,000 na hajawahi kuishika na kisha akafurahi sana kwa kuimba na kucheka akimaliza anajua amenunuliwa kwa bei ya chee. Badilika.
Mkuu Mtazamo, is there a problem?, au unawasiwasi na ile story ya sumu ya panya?.Pasco chunga ulimi wako!
Mkuu Nyakageni, ni kweli kabisa, divai ya krismasi!.kuna muda huwa hushirikishi ubongo wako, hasa leo
Ndiyo wakuu! Heshima kwenu! Natambua uwepo wenu hapa JF. Ninaomba kukishauri chama changu cha CDM kumtimua Zitto haraka. Sababu zifuatazo:-
Mosi siku zote amekuwa mtu wa kuanzisha chokochoko na asiyeeleweka. Katika nafasi yake aliyonayo katika chama alipaswa awe mtu wa kukijenga chama siyo kubomoa. Kwa MFANO:- Wakati chama kinapambana ili kulinyakua jimbo la Arumeru mashariki kwa Joshua Nasari Zitto akaona ili kukivuruga chama aufanye huo ni muda wa kukivuruga chama kwa kutangaza kugombea Urais.
Pili huwa hashiriki katika kazi za chama kikamilifu. Siku zote amekuwa akionyesha kushiriki shughuli za chama kwa manati.
Tatu, amekuwa akipingana na maamuzi ya chama Tena waziwazi. Akiwa kama kiongozi alipaswa awe mstari wa mbele kupigania na kuyatetea maamuzi ya pamoja ya chama. Kwa mfano siku ile bungeni wezake wanatoka kwa kuonyesha kutorizika na matokeo yaliyompa ushindi kiwete yeye hakutoka.
Nne, ana makundi ya sirisiri ndani ya chama yanayolenga kuwabomoa wapinzani wake kitu amabacho kinaweza kuvuruga chama pia
Tano, Mshirikina. Siku zote uchawi ndiyo limekuwa tumaini lake. Si mara ya kwanza kwa huyu ndugu kusema ameaga kwao................ Hizo zote ni tambo za kishirikina. Katika karne hii hayo mambo ya kishirikina yamepitwa na wakati.
NB:- Wamekuja wakina Pro. Safari ndani ya muda mfupi wamekisaidia sana chama lakini zitto ana lengo la kukivuruga chama. Naomba zitto atimuliwa.
Kuna watu wa makao makuu wapo hapa wanatusikiliza na kung`amua hojaPeleka malalamiko yako makao makuu ya Chadema mkuu.
Panya kafanya nini tena? Mbona sielewi hilo? Mimi sina panyaWasiwasi wangu ni mmoja tu,,,je ndugu na panya wako wameaga?
Ndiyo wakuu! Heshima kwenu! Natambua uwepo wenu hapa JF. Ninaomba kukishauri chama changu cha CDM kumtimua Zitto haraka. Sababu zifuatazo:-
Mosi siku zote amekuwa mtu wa kuanzisha chokochoko na asiyeeleweka. Katika nafasi yake aliyonayo katika chama alipaswa awe mtu wa kukijenga chama siyo kubomoa. Kwa MFANO:- Wakati chama kinapambana ili kulinyakua jimbo la Arumeru mashariki kwa Joshua Nasari Zitto akaona ili kukivuruga chama aufanye huo ni muda wa kukivuruga chama kwa kutangaza kugombea Urais.
Pili huwa hashiriki katika kazi za chama kikamilifu. Siku zote amekuwa akionyesha kushiriki shughuli za chama kwa manati.
Tatu, amekuwa akipingana na maamuzi ya chama Tena waziwazi. Akiwa kama kiongozi alipaswa awe mstari wa mbele kupigania na kuyatetea maamuzi ya pamoja ya chama. Kwa mfano siku ile bungeni wezake wanatoka kwa kuonyesha kutorizika na matokeo yaliyompa ushindi kiwete yeye hakutoka.
Nne, ana makundi ya sirisiri ndani ya chama yanayolenga kuwabomoa wapinzani wake kitu amabacho kinaweza kuvuruga chama pia
Tano, Mshirikina. Siku zote uchawi ndiyo limekuwa tumaini lake. Si mara ya kwanza kwa huyu ndugu kusema ameaga kwao................ Hizo zote ni tambo za kishirikina. Katika karne hii hayo mambo ya kishirikina yamepitwa na wakati.
NB:- Wamekuja wakina Pro. Safari ndani ya muda mfupi wamekisaidia sana chama lakini zitto ana lengo la kukivuruga chama. Naomba zitto atimuliwa.
Asante kwa ufafanuzi. Point takenHoja yako ya 3 siyo kwamba hakutoka HAKUJA BUNGENI kabisa maana alijua kitakachotokea na hakuwa amekubaliana nacho....
Kwani hawezi kugombea kupitia ADC?Mbona nasikia kinaanza kuwa na nguvu huko Mwandiga?Ama kama wewe ni cuf ama ccm kwanini usimwombe aje huko kugombea?Ama mbona hugusii kuhusu CHAUMA?Heck The Boss amemshauri afunguwe chama chake!we bado huoni tu?Duh!Usitype just because una vidole na mbele yako kuna kifaa cha kutype na wewe unabonyeza tu.
mambo ya urais ni yeye aliyaleta baada ya kuhusishwa na rushwa,fwatilia vyema...
murugalama,sijatumwa na mtu kwa lolote lile.Unaweza kuona uwanja upo wazi kutoa maoni yako na kupiga kura.Hilo litwaonyesha na kuwapa mwangaza kuwa ni hatua gani wachukuwe.Thread inauliza swali tu na kura ya maoni.Matokeo ya hapa si uamuzi wa chadema,bali ni matokeo yatakayowasaidia kujuwa wanachama na wapenzi/washabiki wao wanafikiri mambo gani kuhusu viongozi waoPengine Zitto akiona maoni haya badala ya kuona ni chuki,ajuwe kuwa hizi ni hisia za wananchi wengi.Pengine limsaidie kubadili mwelekeo.Pole mkuu jmushi, inaonekana hukujipanga, ebu rudi ukae chini na kutafakari, sio kila unalotumwa lazima ulifikishe. Waambie waliokutuma wajitokeze kujibu hoja za watu ambazo zipo hewani. Usione aibu kukiri ulikosea kutumwa kuleta uzi huu kwa great thinkers. Viva ZZK, viva CDM, viva TANZANIA
Hii thread hainihusu mimi.Soma vyema mkuu.Mawazo yako yanakaribishwa tu,ila yasiwe yenye kutoka nje ya mada.murugalama said:Mkuu jmushi, punguza ubinafsi, hapo unaonyesha CDM ni watu fulani tu, weka fikra zako huru uweze kupokea mawazo ya wengine! Km hii thread ilikuwa inakuhusu wewe peke yako usinge ileta hapa ili watu wachangie