Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Wengi mnaompondea Zitto mmeingia chadema juzi kati tu

Kuwa mkongwe kwenye taasisi sio maana kwamba ukitenda kosa usiadhibiwe. Ina maana hapa JF kuna watu wa 2008 wakitukana hawawezi kupewa ban kisa ni wakongwe? Acheni mambo ya kizaman ya kusubiri mkubwa aanze kula nyama.
 
Nionesheni vithibitisho halisi( achana na ngonjera zinazotolewa humu jf na pande zote mbili) kuwa zitto ni msaliti...hakuna vocal evidence..
 
Nionesheni vithibitisho halisi( achana na ngonjera zinazotolewa humu jf na pande zote mbili) kuwa zitto ni msaliti...hakuna vocal evidence..

Kaka nazungumzia endapo!!!! angalia mada niliyo quote usidandie gari kwa mbele...
 
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,

Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?

Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.

jmushi1 suggests that Chadema should fire Zitto...

I suppose the principle of fire for fire should be cautiously employed at this stage. Abstractedness or rather hypothetical evidences produced by Ben Saanane, Tuntemeke and co. suggests that their team has failed to accomplish their original mission (if there was any). I just wonder how happy are Mbowe and Slaa by now.

Back to jmushi1 question, my attempts to restructure the question gave me the following pictures
1. SHOULD ZITTO FIRE CHADEMA?
2. SHOULD FIRE CHADEMA ZITTO?
3. SHOULD ZITTO CHADEMA FIRE?

Hey, just take few minutes to reflect any orientation of these four strong words proposed by jmushi1.

In essences, I trust Chadema anticipated twists and turns of her members hence there are exit clauses and guidelines for disciplinary actions for her members. If CHADEMA, I repeat, if CHADEMA operates as a business entity which seeks to create a brand and sell the business with marginally profit, then they should not only keep Zitto and but also embrace his ideas.

But if CHADEMA operates as a political party that seeks to take power back to the citizen through citizen empowerment, equity and accountability based on fairness and justice, they should discipline Zitto Zuberi Kabwe based on party's constitution. If it deems fit to fire Zitto let it be; because Zitto might continue to fire CHADEMA day in day out, more so, who can predict the outcomes and the impact of Zitto FIRE(ing) Chadema?

yes they should fire him coz huyu jamaa amezidi sintofahamu anahusishaje tuhuma zake na urais wakati bado kuna miaka 3 mbele kufikia kampeni? au anataka atumie urais kama kichaka chake cha kutokujadiliwa hata pale anaposhutumiwa?..Aende zake huko mbali akagombee kama mgombea binafsi au akajiunge na SAU huko hakuna atakayemjadili sana.
Hivi siasa za aina hii zitaishia wapi nimebaini Kuwa sisis kwa sisi hatutakiani mema tunagombea fito wakati tunajenga nyumba moja tambueni Kuwa hakuna mwanachadema aliyebora zaidi ya mwenzie kila mmoja wetu Ana Watu wanaomwamini hata Kama ni mjinga kiasi gani au hatumpendi kiasi gani?watanzania wanataka mabadiliko wasipoyapata ndani ya chadema watayatafuta nje ya chadema kila mmoja akimweshimu mwenzie na kutumia nafasi zetu kujenga Chama tutasonga mbele tukianza kutuhumiana sisi kwa sisi tutasonga mbele zaidi kila mmoja anawafusi wake waliojiunga na Chama Baada ya kuona na Fulani yupo hakuna mkamilifu na bora zaidi ya mwingine kunakamchezo kakujengeana Tuhuma na majungu hayatatupeleka kokotete kwani ni mtu akipishana mawazo ni wengine aonekane mamluki au kahongwa au anatumiwa tujitathimini tena tuanze upya pamoja
 
Mnashangaza sana, mnajiita magreat thinkers afu mnaumiza vichwa kwa swala dogo ka hili? 4 CHADEMA 2 win this war, tz obvious that nothing..I repeat..nothing should be done kwa sasa, wapo walowatuma na wanategemea the same should be done ili CHADEMA iparanganyike...sishauri kuyapuuza madai hayo ya hao wanaojiita makamanda wapiganaj 'huku wanaramba miguu ya watu' ila kwa sasa embu funiken kombe mwanaharamu apite.
 
CHADEMA hawana uwezo wa kumfukuza ZZK kwa sababu umaarufu wa Zito hautokani na cdm bali ni uwezo wake binafsi wa kujenga hoja zenye mashiko na kutoa way forward nini kifanywe na serikali kwa maendeleo ya taifa hili.Zito anauwezo wa kujiunga na chama chochote cha siasa ktk nchi hii na akawa material...
 
Zito ang'oke ni mbinafsi Na mwenye UCHU Wa madaraka.

Ang'oke mapema vinginevyo atasababisha madhara makubwa zaidi kwenye chama and il will be too late!
 
Naamini kwa haya yaiiyotokea humu jamvini kwa siku hizi tatu ni fundisho kwa jemedari Zitto . Naamini ana nafasi ya kujirekebisha na kurudi enzi zile za 2007 .
 
Last edited by a moderator:
jmushi1 suggests that Chadema should fire Zitto...

I suppose the principle of fire for fire should be cautiously employed at this stage. Abstractedness or rather hypothetical evidences produced by Ben Saanane, Tuntemeke and co. suggests that their team has failed to accomplish their original mission (if there was any). I just wonder how happy are Mbowe and Slaa by now.

Back to jmushi1 question, my attempts to restructure the question gave me the following pictures
1. SHOULD ZITTO FIRE CHADEMA?
2. SHOULD FIRE CHADEMA ZITTO?
3. SHOULD ZITTO CHADEMA FIRE?

Hey, just take few minutes to reflect any orientation of these four strong words proposed by jmushi1.

In essences, I trust Chadema anticipated twists and turns of her members hence there are exit clauses and guidelines for disciplinary actions for her members. If CHADEMA, I repeat, if CHADEMA operates as a business entity which seeks to create a brand and sell the business with marginally profit, then they should not only keep Zitto and but also embrace his ideas.

But if CHADEMA operates as a political party that seeks to take power back to the citizen through citizen empowerment, equity and accountability based on fairness and justice, they should discipline Zitto Zuberi Kabwe based on party's constitution. If it deems fit to fire Zitto let it be; because Zitto might continue to fire CHADEMA day in day out, more so, who can predict the outcomes and the impact of Zitto FIRE(ing) Chadema?

Very strong words mkuu,ninai update post ya kwanza kwa maneno hayo.Ni udhaifu mkubwa sana chama kinaposhindwa kuwa discipline viongozi na wanachama kwa mujibu wa katiba as if chama ni kampuni.Hata kampuni zenyewe hazina masihara.
 
Zitto ana spin. Yaani alitegemea akisema anataka kuwa Rais baasi, kila mtu ampigie makofi kumshangilia???????
Siamini kama kuna ushahidi wa moja kwa moja wa kumtia Zitto hatiani. Bado ninaamini kuwa ni ushahidi wa kimazingira. Lakini pia kama chadema ikifanya kikao juu ya haya mambo:
1. Lazima wajiandae vilivyo ili Zitto asije akatumia vikao hivyo kujisafisha (wakikosa ushahidi itabidi wamtangaze zitto mtakatifu).
2. Kwa vyovyote vile vita hii itadumaza sana uwezo wa chadema kupiga vita ufisadi - kama chadema wenyewe wana ufisadi ambao hawawezi kuusafisha/kuupiga vita.
 
CHADEMA wasipofanya maamuzi magumu sasahivi,basi ni kweli kitasambaratika.Mark my words,hakuna jambo ambalo nimeshawahi kuwashauri na ushauri wangu ukaonekana hauna maana.Sanasana watajutia.
Chama kimekuwa kama genge la wajinga na wahuni halafu eti wanakaa kimya bila kuchukuwa hatua?

Tofauti zilizoko miongoni mwao,ni tofauti ambazo haziwezi kucoexist in any means!Hata wakisema wanakaa vikao na kusuluhisha haitasaidia,sikutegemea kama kuna watu wajinga kiasi hiki huko chadema,na wanaposhindwa kuchukuwa maamuzi magumu,basi uongozi utaonekana ni dhaifu na credibility machoni pa wananchi itafutika.Kwasababu mambo yao yako wazi na hawataweza kumdanganya mtu!Ni either wasuke ama wanyoe,waspofanya chama kinakufa,period!
Mark my words!
 
Mimi nishahidi wako, ulisema, nilisema, wakasema wengine pia.
 
I’m sorry Zitto! I like you but, you have to go. Your time is up. We don't need evidence, just the FACT that he is involved in the scandal. He has to be terminated. Either he is innocent or not, the whole thing distracts him from his job, CHADEMA, M4C and constituents. HE HAS TO GO.
 
I'm sorry Zitto! I like you but, you have to go. Your time is up. We don't need evidence, just the FACT that you are involved in the scandal.You have to be terminated. Either you are innocent or not, the whole thing distracts you from your job, CHADEMA, M4C, and constituents. YOU HAVE TO GO KAMANDA.

PLEASE CHADEMA, I UNDERSTAND IT IS HARD, BUT SOMETIMES WE HAVE TO COME UP WITH THE HARDEST DECISIONS. THIS IS ONE OF THEM. "TURN ZITTO LOOSE" HE IS TURMOIL

IN CHADEMA.
 
I AGREE. LET HIM GO AWAY FROM CDM! m.b.wa m.wit.u aliyevaa ngozi ya kondoo
 
I’m sorry Zitto! I like you but, you have to go. Your time is up. We don't need evidence, just the FACT that you are involved in the scandal.You have to be terminated. Either you are innocent or not, the whole thing distracts you from your job, CHADEMA, M4C, and constituents. YOU HAVE TO GO KAMANDA.

PLEASE CHADEMA, I UNDERSTAND IT IS HARD, BUT SOMETIMES WE HAVE TO COME UP WITH THE HARDEST DECISIONS. THIS IS ONE OF THEM. "TURN ZITTO LOOSE" HE IS TURMOIL

IN CHADEMA.

You wil be an idiot to do that, especially by needing no evidence as you have said above.Really idiot.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom