Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Achaneni na huyu! Maana sijui Dr. Slaa utawajibu nini raia wakianza kuzomea na ku-shout "tunamtaka huyo mnafiki aongeeeee... . . ." Wala cdm wasing'ang'anie sana kwenda na zito kwenye M4C, Maana wananchi kama wa mwanza, Mbea, A.Town, na universities hawatochelewa kumzomea hadi kujutia kua mwanasiasa!
 
Kama alimpigia JK kampeni,basi hata kwenye hiyo m4c hawezi kwenda,kwasababu,principaly,he doesn't believe in changes.Mtu aliyemkampenia JK mnamwita eti mpinzani?kamanda wa mabadiliko?gimme a break on this!huo ni utofauti wa kimsingi kabisa,it is a fundemental issue!halafu hilo linaonekana ni la kawaida,ama pia linafumbiwa macho...bongo kuna vituko sana,there is a big and a serious problem somewhere that chadema needs to fix it.

Tamaa za madaraka mbaya sana,mtu akitaka kupanda juu hajali ni kitu gani anakanyagia chini kwenye process,almuradi matamanio yake yamefanikiwa.
 
Kweli ni "a noose" around CDM's neck.Hiyo tume haina mkono wa ccm?kwahiyo unadhani itafanya kazi ya aina gani?tume hiyo ni huru?una imani nayo?

Kama kuna viongozi wa juu wa chama kutofautiana siyo mbaya kabisa kwenye demokrasia ya kweli.Lakini tofauti hizo zisiwe kwenye fundamental issues.

Hivi ameshawahi kusema ni kwanini hashiriki kwenye m4c?Halafu ina maana yeye na serikali ya ccm inayodhibiti harakati hizo hata kwa mauwaji,they see "eye to eye"?

Mkuu mim nimekuelewa lakin nimeweka tahadhali kwa uwazi kama siko sahihi sion tatizo lakin huo ndio msimamo wangu.

Nasikitika pia mda sio rafiki kwangu nimebanwa sana leo.

Nakutakia Usiku mwema mkuu.
 
CDM inazidi kujipambanua na aina ya siasa zake chafu!ki ukweli zito jembe,kuondoka kwake kutaibomoa cdm!
 
Ni mtu mkorofi. Ana kipaji cha uongozi ila mropokaji,'Mr Misifa',mchonganishi na mgawawatu. Zitto Zuberi Kabwe ni pandikizi la CCM na TISS ndani ya CHADEMA. Saed Kubenea na waandishi nguli wa MwanaHALISI waliweka jambo hilo wazi. Yupo kwa ajili ya maslahi yake na kuharibu harakati njema za ukombnzi wa taifa hili zinazoratibiwa na CHADEMA. Kwani hafukuziki? Akifukuzwa itakuwaje? I personally hate Zitto for what he is doing with regard to 2015 Presidency....
 
Mimi naamini katika "equal treatment to all members" regardless of their status! Kama ikionekana beyond resoanable doubt kwamba ZZK amehusika taratibu zifuate mkondo wake! But kuna kitu nachelea kukiamini ambacho kimejitokeza katika mawazo yangu. Nimeona kuna sehemu ZZK anasema ni siasa za urais, could it be alitangaza nia ya kugombea urais kama mtego? ili kama akichukuliwa hatua tuamini kwamba ni mchezo mchafu...Its a puzzle to me!
 
Nilishajiuliza hilo mimi mwenyewe,inakuwaje tuhuma za rushwa awasingizie viongozi wenzake kuwa ni siasa za urais na wakati zilitolewa na waziri wa serikali ya ccm?

CDM wajuwe kuwa ni either wasuke ama wanyoe,haileti mantiki kuwa na kiongozi ndani ya chama ambaye anaamini kuwa anaonewa(kwasababu ya mkoa aliotoka na dini yake), halafu waseme kuwa anakipenda chama chake (kama si kweli kwamba anaonewa).

Endapo chadema wanaamini kwamba anayoyasema kiongozi wao si ya kweli,basi kuna hatua za kuchukuwa.Na kama wanakubaliana naye,pia kuna hatua za kuchukuwa.Otherwise atawachezesha sebene mpaka wajute kumfahamu.

Kusuasua kwa chadema,chama kinachijinasibisha kwa umakini,ni kama dalili za kukubaliana na wale wanaosema kuwa wameshikwa pabaya.
 
Pili,kuna tena mahusiano yake na mmojawapo wa wale waliotuhumiwa kumteka na kumtesa Dr Ulimboka,hayo si mambo mazuri ya kuhusishwa na kiongozi aliyeko kwenye chama kinachotarajiwa kuleta ukombozi Tanzania.
Mkuu kweli uliona mbali,CDM wasuke ama wanyoe,ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu kabla ya 2014/15.

CDM tumueni wasaliti wote mkianza na kinara wao,kikao kikipata ushahidi wakina Ben Saanane,muwatimuwe wote wasaliti na masalia.

Halafu mkuu nadhani unatakiwa kuiupdate hii thread,the issue bado ni relevant.
 
Hapana,kufanya hivyo ni kosa madamu tumeshajua tunaishi na mtu wa namna gani ndani ya nyumba nae kashajua watu wamemjua tabia yake asilia basi ni kuwa nae makini tu na mwisho wa siku kutatokea either ajirekebishe na kukiri kama Ben alivyokiri kuwa alipotoka na sasa amegundua makosa au aone kweli hapa sina changu tena afungashe vilagi vyake mwenyewe bila kufungashiwa
 
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,

Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?

Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.

.........hivi CHADEMA mna tatizo gani na Zito ?????:confused2:
 
.........hivi CHADEMA mna tatizo gani na Zito ?????:confused2:
Mimi naitwa theROOM, mwananchi wa kawaida nisie mfuasi wa chama chochote.

ZZK haaminiki na hatokuja kuaminikana hatakiwi kuaminika...its simple.

Look at his moves, his health,his words..its full of contradictions...ukimwangalia ZZK ana stress kama alivo EL. hii ni kwa sababu he has too many agendas..mara urais mara lecturer mara ninii...yaani this guy is overloaded and very selfish..

BUT,He knows what he is doing n he knows it well deep down his heart. And he knows it is EVIL..he knows it well..ZZK has no peace,he is extremely careful to every move he makes...

Lkn kuna kitu kimoja viongozi wengi wa nchi hii hawajajua..Watz wengi ni waelewa sana.Sio wale wa miaka ile....wanao uwezo wa kukupima na kukukataa upright....

ZZK HAPASWI KUAMINIWA TENA...
 
Tunapozungumzia CDM lazima jina la Zitto litajwe, kwa maana ana mchango mkubwa na amepitia hekaheka na misukosuko mingi ndani ya CDM, hivyo kumtuhumu na mambo ambayo hayanahushahidi ni kumvunjia heshima mpiganaji huyu. CDM mjipange! msikurupuke.........!
 
''tunapozungumzia CDM hatuwezi kulisahau jina la Zitto, kwani amepata hekaheka na misukosuko mingi na amepigana vya kutosha kuhakikisha chama kinafika hapa kilipofikia, hivyo kumtuhumu na mambo ambayo hayana ushahidi ni kumvunjia heshima mpiganaji huyu! CDM mjipange! Msikurupuke!
 
.........hivi CHADEMA mna tatizo gani na Zito ?????:confused2:
Hili swali labda ungeligeuza upande wa pili.Yani maybe yeye ana matatizo gani na chadema?

Anyways,hata mimi pia sipendi washirikina,ama hukuangalia ripoti ya cnn?
 
Hili swali labda ungeligeuza upande wa pili.Yani maybe yeye ana matatizo gani na chadema?

Anyways,hata mimi pia sipendi washirikina,ama hukuangalia ripoti ya cnn?

aiseeeh ...! sasa mbona ndo umenichanganya kabisa !!
 
Mimi naitwa theROOM, mwananchi wa kawaida nisie mfuasi wa chama chochote.

ZZK haaminiki na hatokuja kuaminikana hatakiwi kuaminika...its simple.

Look at his moves, his health,his words..its full of contradictions...ukimwangalia ZZK ana stress kama alivo EL. hii ni kwa sababu he has too many agendas..mara urais mara lecturer mara ninii...yaani this guy is overloaded and very selfish..

BUT,He knows what he is doing n he knows it well deep down his heart. And he knows it is EVIL..he knows it well..ZZK has no peace,he is extremely careful to every move he makes...

Lkn kuna kitu kimoja viongozi wengi wa nchi hii hawajajua..Watz wengi ni waelewa sana.Sio wale wa miaka ile....wanao uwezo wa kukupima na kukukataa upright....

ZZK HAPASWI KUAMINIWA TENA...

..........huyu bwana ZZK, anadai aliingia Chadema tokea akiwa na miaka 16 yrs ! sasahaya mengine yameanza anzaje !?v :confused2:
 
Mie nashauri wanachama mshinikize uongozi wa Chadema umfukuze Zitto ili roho zenu ziwe nyeupeeee. Labda akiondoka mkabaki na chama chenu mtapata muda wa kuwaza mambo ya maana
 
Hili swali labda ungeligeuza upande wa pili.Yani maybe yeye ana matatizo gani na chadema?

Anyways,hata mimi pia sipendi washirikina,ama hukuangalia ripoti ya cnn?

ropoti ya CNN imasemaje?

kwangu antena inanasa chenga
 
Acheni pumba zitto anaweza akawa mkweli mwishoe tukajutia....mie simwamini yeyote kati yao mpaka ushahidi wa maana utolewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom