Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

Another movie!!! Hakika hawana kazi za kufanya vijana hawa. Wamelewa!!
 
Ukiingia kwenye siasa kama sehemu ya kujitafutia kipato hata kama ukiwa na PHD utaonekana sawa na sie tulioshia STD 7 tena wakati mwingine kiakili tutaonekana tumekuzidi though afya zetu si njema sana kutokana na ugumu wa maisha. Kuna haja ya kuweka kipengele kwa mtu yoyote anaeingia kwenye siasa awe na shughuli halali ambayo ameifanya kwa muda wa miaka 5 na hii itatuondolea kama taifa upotevu wa nguvu kazi kwa kuingia kwenye siasa na kuishi kwa kutegemea majungu. Maana vijana wengi wamemaliza chuo vizuri ajabu siasa ndo inakuwa kama ndio source of income hivyo usishangae sana kama vijana kama hawa wakawa wanaishi kwa kutembeza majungu maana kipimo cha busara ni pale unapotunza siri zote ambazo mlikuwa nazo enzi za urafiki. Mtu ukimuuliza kazi ni Mwanasiasa yaani hana shughuli nyingine inayomweka mjini kwa mtaji huu lazima majungu kwa sana kwa kuwa siasa za sasa ni uadui wa kupigana madongo ili watu waendelee kuchukua viti vingi badala ya kuchuana kwenye sera na utekelezaji wa shughuli za maendeleo

Kwa sie wapiganaji kama ingekuwa ukitoka ofisi moja kwenda nyingine alafu ukawa unamponda mwajiri wako wa zamani kwenye interview sidhani kama kuna ambae atakupa kazi maana na hapa lazima utaondoka na kuponda.
 
wana hasira ya kuteswa na mama wa kambo hao, Nikikumbuka mwampamba alivyokuwa akiteswa na mama wa kambo inauma sana kwamba bado anateseka. ni msongo wa mawazo ya maisha, pole mtela
 
Hawa jamaa wanalipwa nn? mbona wana nia ya dhati kabisa ya kuiangamiza CHADEMA/TZ?
 
WanaCHADEMA tuachane na habari za watu tulio watimua kama mambwa tuangalie mustakabali wa taifa letu. SHONZA NA MWAMPAMBA A.K.A MWAMTOFALI kikwetu ni kama mwanamke aliye kosa soko, kwa hiyo anatafuta soko (wanaume ).
 
Naona Mwigulu kaja na muvi mpya. Muda si mrefu ataiupload Fb, Twitter, U tube na JF. Polisi watakuja wataidounload, utasikia kesho Dr. Slaa kakamatwa kaonekana kwenye video kashika panga anamchinja .............. Wana kazi Hawa jamaa!!! Laiti nguvu hiyo wangeipeleka kwenye Elimu tusingeona ziro. CCCCM Hamponi
 
Nashangaa wapigania haki wanang'olewa meno wanaoendeleza siasa chafu wanapata popularity
 
Wakitimuliwa ccm wataanza kutoa siri za Mwigulu.!!
 
Wakitimuliwa ccm wataanza kutoa siri za Mwigulu,jinsi alivyopanga kuhujumu chadema.!!
 
Mambo waliokua wanayapanga na Zitto?yaan wanakuja kuthibitisha kua wao walikua wasaliti? Je hawa watu wanastahili kuaminika?
They are not credible witnesses according to me.
hivi hwa vijana si wana elimu nzuri tu, hebu tuwashauri to get a job, a legitimate one..
naskia uchungu sana nikiona vijana waliosomeshwa kwa kodi za watanzania kama akina shonza wakizurura mitaani kwa kujitakia wakitafuta madili ya kuungaunga, ili wapate hela kiujanja ujanja!
tunapoteza nguvu kazi ya taifa..
 
Ninachowashangaa ni kwamba hawana jipya, yote tulishayajua wakayakataa sasa wanakuja kuthibitisha ujinga wao. Maana walishafukuzwa hata watakalolipandikiza litaonekana ni pandikizi tu
Una uhakika gani?! Pengine kuna tape Kama ya Rwakatare? Shauri yenu na tabia zenu za kufukuzana bila kutafakari, nyie mmemwaga mboga na wao sasa wanataka kumwaga ubwabwa
 
Ukweli hajausema bado,
Kuna ukweli mzito ambao akiusema ndio atakuwa kamwaga ugali

Kwa kuwa ulikuwa nao kwenye mipango waweza jua ambalo halijasemwa nakushauri useme sasa nawe maana huna tofauti na Shonza na huna aibu kuwepo hapa jamvini mchumia tumbo wewe .
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.

Hawa vijana ni janga la kitaifa.
Hata wakitoa hivyo vithibitisho vyao, so long as wako CCM sasa havitakua na nguvu, itakua ni sawa tu na vya uongo hata kama ni vya kweli.

Pia kauli aliyoitoa Zitto ni kama vile ametubu kiaina, so any charges against them from these gambaz zinakosa nguvu kuanzia hapo
 
Last edited by a moderator:
Ccm inaoga na watoto kamwe haitataka wanazidi kujichafua badala ya kutakata.
 
Back
Top Bottom