Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

mwanzoni ili movie inaanza nikajua ni realty show..ila mpk hapa ilipofikia nahisi kabisa executive producer na producer walikosea kuchagua cast...na sasa cast wamekua maproducer..basi wanaproduce hadi fiction movie...hahahahahahaha..wanamuacha hata director ....lol...
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.

Wameleta ushahidi kama nani....ndio haya wakati upo mahakamani unakana...kesi inaisha unakuja kusema ukweli ni huu....nani akuamini sasa...hivi huko walikohamia hakuna kazi ya kufanya mpaka bado wanafanya kazi kwenye taasisi iliyowamwaga!
 
Kama Mwigulu ametoka mafunzo na ujinga huu bado unaendelea basi hakuna aliloenda kulifanya. Nilitegemea angerudi na moyo wa uzalendo na kuondokana na uchafu huu anaouratibu kupitia hawa waganga njaa masalia... SHAME...

Mimi siamini sana kuwa jeshi linaleta uzalendo. Hivi wanajeshi wetu ni wazalendo?
 
Zitto kachokoza vichaa lol
where is Gaijin lol
Hao vichaa waliochokozwa hata wakiamua kujinyea hadharani hakuna atakayewazingatia na jamii imeshawajua kuwa ni mateka waliofilisika kisiasa.
Its a last kick of dying donkey.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Bado inawauma kufukuzwa chadema .............wafanye mambo yanaowahusu na yaliyowapeleka ccm
yaliyowapeleka CCM ni kupokea kitu kidogo na kuanza kazi ya kuisambaratisha CDM.sasa mnashangaa nini?wenzenu wako kazini
 
jeshi linakupa Uwoga juu ya bosi wako..

Kweli kabisaaa.

Uzalendo haufundishwi bana... Unatoka moyoni.

Hao kina Jk mbona wajeshi sijaona uzalendo wao. Tunadanganywa tu, hivi Shimbo sio mjeshi au nimechanganya.
 
Hawa ni wa kupuuzwa! Sasa hivi wana tapa tapa kabisa hawana pakushika kabisa!
 
kwanini wasipeleke ushahidi wao polisi ikiwa wanajiamini? kutumia vyombo vya habari ni sawa na kutafuta umaarufu na kuchafuana.
 
Kweli kabisaaa.

Uzalendo haufundishwi bana... Unatoka moyoni.

Hao kina Jk mbona wajeshi sijaona uzalendo wao. Tunadanganywa tu, hivi Shimbo sio mjeshi au nimechanganya.

kweli kaka uzalendo wa kweli kwa wanajeshi sio tu umeshuka bali umeporomoka.
 
kwel hata mimi nimemuona shoza na minguo yake ya njano aliyokuwa amevaa
Na amepokelewa na huyu muhariri pale getini
 
Hakuna mtu anayeweza kuwaamini hawa vjana.
Ni wasaliti hawa,
Alafu mnapaswa kujua kuwa hawa jamaa sasa hivi wanalipwa mshahahara na CCM kukichafua chama chetu
Uzuri ni kwamba hawana jjipya
 
vijana tujitizame tunavyotumika kisiasa na maslahi ya tunayoyafanya kwa ajili ya Taifa letu.Tunajiita tumesoma lakini vipimo vya tunayoyatenda hayaendani na kisomo chetu tunachojisifia jamvini kila leo.Hawa vijana wanahitaji ukombozi wa kifikra kwanza maana hawajitambui wanapigania nini.
 
Pole kwao maana Watanzania hatuhitaji majungu wakati huu muhimu. Tunahitaji zaidi mshikamano na uzamivu katika uchanganuzi wa mambo, kisha kuunganisha nguvu ya wananchi kuelekea ushindi wa kihistoria 2015.
 
Back
Top Bottom