Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

Wanatakiwa wajifunze kufikiri vzr khs zzk?.zzk alishasema yeye hapambani na wanasiasa kama akina nape nnauye,yy level yake ni JK mwenyekiti wa magamba taifa.sasa Shonza na mtela wajiulize wao na JK na bora?.
 
Naisubiri jumatano kwa hamu nione hiyo front page heading.
 
Come on, give us a break, achaneni na kuwaongelea hawa jamaa. Mnawapandisha bure. Kila kukicha kuna nyuzi zinazowahusu. Pigeni chini hizi mtu, twende kwenye issues nyingine!!!! Kama wangekuwa na akili timamu na uzalendo na nchi hii, kwanini wasipeleke ushahidi huo Polisi au Mahakamani, wanaupeleka New Habari Cooperation ili iweje?
 
inasikitisha kuona vijana wasomi kama hawa (including ben saanane and others wanaojiita ''wanasiasa'')
wanaishi kwa 'ujanja ujanja',
kuungaunga,
kulipwa posho ili watunge skendali,
hawana kazi maalumu zaidi ya kupiga domo tu ''vijiweni'' ambavyo wenyewe wanaita ''vikao'',
wanazurura tu mjini kutwa nzima kutafuta umbea uwe wa ukweli au uongo,
hawazalishi chochote kuchangia maendeleo ya taifa,
opportunists, unethical, and hypocrates!
SHAME ON YOU!
inatia kinyaa
pppttuuuuuu.!!
nashangaa kuona vyama vigogo kama CCM wanawatumia katika majukwaa yao ya siasa!
very very very poor strategy..
Hawana tofauti na kina Wema Sepetu wanaoanzisha skendo baadae wanaenda kugawana mapato na Erick Sigongo!
 
Hahaha mnadhani Zitto mjinga? aliandika vile akijua wale vichaa hawatanyamaza. Kitakachofuata ama zangu ama zako...
 
Hivi hawa vijana bado wanahaha tu kwenye vyombo vya habari? Hawajapewa vyeo katika chama?
 
yaliyowapeleka CCM ni kupokea kitu kidogo na kuanza kazi ya kuisambaratisha CDM.sasa mnashangaa nini?wenzenu wako kazini

Ha ha haa! MAGAMBA wamesha washtukia Mazee. Sasa hivi wamekuwa wasaka nyoka Mkuu. Si unaona hawaitwi tena majukwaani! Wameamua kujialika wenyewe kwenye MEDIA. Kila kukicha wana haha wapi watume maombi ya kuhojiwa. Na kama unavyo zijuwa MEDIA zetu walivyo wavivu wa kutafuta habari za maana.

Kibaya zaidi ni kwamba hata stori zao haziuziki siku hizi.
 
Huyu Mtela Watu wamepoteza resources zao katika kampeni iliyopita leo hii unawasaliti sijuwi utakanyaga ardhi ya Tunduma kwa midomo ya wanambozi wanavyokusema hivyo loooo! Msaliti bwana! Muugope.
 
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.

Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.
nimeamini dogo heche anaona mbali sana maana wakati anapambana na hawa panya wa ccm alionya asiwepo kiongozi yeyote ndani ya chadema hata anayewapenda akamuelewa vibaya ilikuwa sms ya kumleng a zzk sasa anajionea jinsi hawa mchwa wasivyokuwa na staha
 
Come on, give us a break, achaneni na kuwaongelea hawa jamaa. Mnawapandisha bure. Kila kukicha kuna nyuzi zinazowahusu. Pigeni chini hizi mtu, twende kwenye issues nyingine!!!! Kama wangekuwa na akili timamu na uzalendo na nchi hii, kwanini wasipeleke ushahidi huo Polisi au Mahakamani, wanaupeleka New Habari Cooperation ili iweje?
umenena vyema kak a hawa ni panya tu hawastahili kuongelewa muda huo wote
 
CCM mbona inawapa"Ulaji"sana akina Mtela na Shonza?Mbona CCM inawaona hawa wapya kama ndiyo wanaweza kukuimarisha chama zaidi ya vijana wao wa siku zote?

Mbona CCM inawaona akina Shonza kama ndiyo wenye uwezo wa kuibomoa CHADEMA zaidi ya waliokuwepo?Mbona CCM ilishinda uchaguzi kwa kuwatumia vijana wao kipindi kile akina Mwampamba wapo CHADEMA na mbona sasa hawatumii vijana wao wa kila siku lkn Mwamtela ndiyo anapewa sana nafasi?

Vijana mliokuwepo CCM toka zamani,vijana mliohimili kejeli za akina Shonza walipokuwa upinzani lkn sasa wanaonekana wana nguvu ndani ya CCM zadi yenu CHUKUENI HATUA KALI KUKATAA MAMBO HAYA!
 
Wamefanikiwa kumshawishi BASHE aseme kanusurika kutekwa
Ha ha haa! MAGAMBA wamesha washtukia Mazee. Sasa hivi wamekuwa wasaka nyoka Mkuu. Si unaona hawaitwi tena majukwaani! Wameamua kujialika wenyewe kwenye MEDIA. Kila kukicha wana haha wapi watume maombi ya kuhojiwa. Na kama unavyo zijuwa MEDIA zetu walivyo wavivu wa kutafuta habari za maana.

Kibaya zaidi ni kwamba hata stori zao haziuziki siku hizi.
 
Jinamizi la kuandamwa kwa mbunge wa kigoma kaskazini kabwe zitto limepamba moto baada ya baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa ni washirika wake kujitokeza na kuweka wazi kuwa wamesalitiwa............

10_67c86.jpg
 
bishana na ujumbe usibishane na mtu anayekupa taarifa, utapotea
 
Ccm bwana kila kukicha wanajipya na hawana pa kukamata! Daa mtela na shonza kimyaaaaaaaaah
 
Zitto kawashauri vizuri sana hao makamanda:ukihamia chama kingine shiriki kukijenga-kuliko kufanya kazi ya kukibomoa ulichokihama.Mwenzenu Mzee WASSIRA/TYSON alipohamia NCCR hakumaliza maneno ndo maana karudi kuvaa GAMBA WAKAMPOKEA
 
[h=5]Habib Mchange[/h]Thursday via BlackBerry Smartphones App

Katika mapambano yoyote yale lazima kunakuwa na mkuu wa mapambano, inapotokea mkuu wa mapambano amesita ama kurudi nyuma inatosha kabisa kuitwa MSALITI, na kwa namna yoyote ile ni nadra sana kwa mkuu wa mapambano kuuawa katikati ya mapambano, yeye hurudi nyuma na kujisalimisha..kujisalimisha ni USALITI, na adhabu ya USALITI sote twaijua..msaliti kamwe hasameheki..mapambano lazima yaendelezwe..#OPERESHENI UZALENDO.

​
 
Back
Top Bottom