Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,201
Wakati alipousema ukweli wewe ulikuwa wapi? Au hata ukisoma huelewi mkuu.The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Wakati alipousema ukweli wewe ulikuwa wapi? Au hata ukisoma huelewi mkuu.The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Ukweli hajausema bado,Wakati alipousema ukweli wewe ulikuwa wapi? Au hata ukisoma huelewi mkuu.
Ukweli wake hautakuwa na maana sana kwa sababu aliyoshiriki kuyafanya, na sababu ityakayomsukuma kuusema ukweli, tayari vinauweka ukweli wake pabayaThe day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Protocal ya fisi na mkono wa binadamu..
The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.
Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.
Naona sasa wewe unataka Ku-Draw Attentions kama William Malecela, hivi wakati Ben anajieleza kwa kirefu ktk post yake ya siku za nyuma tena ukiwa bado CDM hukuisoma?.The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Hujamsoma? Karusha post ya kumaliza na anakushauri na wewe kama hujakwenda basi uende.
Shida moja, watu wanasahau taaluma yao ya uandishi wa habari, kuna kosa gani muandishi wa habari kuzungumza na Shonza kwa nia ya kutafuta ukweli juu ya yale anayoyasema?
habari ikiandikwa upande mmoja tunakuwa ni wa kwanza kuwalaumu waandishi.... sasa ukitafutwa na upande wa pili nalo ni tatizo?
Cha muhimu tuache ushabiki wa kijinga.
Ja kibinda wewe ni muandishi wa habari lakini umesahau taaluma yako unabaki kufanya majungu.
Vijana waliyofukuzwa CHADEMA Juliana Shonza na Mtela Mwampamba sasa hivi wapo ofisi za NEW HABARI wakiwa na mhariri wa Mtanzania Jumatano bwana CHARLES MULINDA ambaye anatumika kuwatukana viongonzi wa CHADEMA.
Inasemekana vijana hawa wameleta ushaidi ya mambo waliyokuwa wanapanga wakiwa Zitto Kabwe.
kadi ya cha cha cha de deee de ma mamaaaaa....cha chadedeema inappap.ppappaapatikakkakkaaaana wwaaaaawwappppeeeppeeppiiiiii???