[h=5]Habib Mchange[/h]Thursday via BlackBerry Smartphones App
Katika mapambano yoyote yale lazima kunakuwa na mkuu wa mapambano, inapotokea mkuu wa mapambano amesita ama kurudi nyuma inatosha kabisa kuitwa MSALITI, na kwa namna yoyote ile ni nadra sana kwa mkuu wa mapambano kuuawa katikati ya mapambano, yeye hurudi nyuma na kujisalimisha..kujisalimisha ni USALITI, na adhabu ya USALITI sote twaijua..msaliti kamwe hasameheki..mapambano lazima yaendelezwe..#OPERESHENI UZALENDO.
Ni fools day lakini!
Ni fools day lakini!
Duh!
Zitto alidhani "jini likujualo, halikuli likakwisha" ila kumbe misemo ya zamani yote haifanyi kazi enzi za digital hizi
The winner is always the one who loose in the real battle ...... says ODM.Nina hamu sana ya kuona muvi hii na kujua who will be the looser.
Bwabwa at work.The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
The day will come...
Ben Saa nane atafunguka na kusema ukweli,
Stay tuned
Naona sasa wewe unataka Ku-Draw Attentions kama William Malecela, hivi wakati Ben anajieleza kwa kirefu ktk post yake ya siku za nyuma tena ukiwa bado CDM hukuisoma?.
Utazidi kujivunjia heshima yako ndogo iliyobaki. Hv kweli huwezi kutafuta hata Button ya msg zilizopita za Ben Saanane?
nakushauri angalia ili utulize Dukuduku lako roho yako itulie.
The winner is always the one who loose in the real battle ...... says ODM.
mtekaji na mtesaji mkuu wa watanzania huru